Watu wangu wa nguvu mnipee 1000 retweets wanipee TV huku , I know I disappointed you guys hapo awali but this time hii ni TV highlights mtakuwa mnaona kwangu mamae π₯π
Wacha sasa tutizame highlights za hapo Darajani tuone yaliyojiri hapo jana. Kumbuka mwana Chelsea kando na kuwa bingwa wa dunia, anajivunia wachezaji maarufu kama vile Baby Ronaldo,Neymar regen-Estevao na Barafu baridi Palmer. Hapa mwana Villa hana bahati Lahaulaa