Kwa kushirikiana na Shirika la umoja la umoja wa mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kupitia mradi wetu wa elimu tumefanikisha zoezi la ugawaji wa vifaa muhimu mwanafunzi anavyohitaji ili abaki shuleni na asikose masomo!
Wanafunzi wa Shule ya Msingi na Sekondari Buhingu pamoja na Shule ya Shule ya msingi Katumbi wamefikiwa na elimu ya hedhi salama sambamba na vifaa vya kujisitiri kwa wasichana wawapo hedhi kama sehemu ya mradi wetu elimu.
Asiachwe msichana nyuma π
Today is #MenstrualHygieneDay. A day to break Stigma, promote dignity and advocate for menstrual products and Information for all.
We stand for awareness, education and ending period shame as we celebrate this day!
Mratibu wa mradi wetu wa Elimu, Ndugu John Maftah akielezea malengo ya mradi pamoja na dhamira ya maadhimisho ya siku ya #HedhiSalama
Pamoja kwenye ulimwengu wenye huduma rafiki za hedhi salama. ππ
Hedhi isiwe kikwazo kwa msichana kukosa masomo.β
Bi. Fausta Akalo β Kaimu Afisa Elimu mkoa wa Kigoma akitusaidia kugawa vifaa vya kujisitiri wakati wa hedhi kwa wasichana wa shule 4 katika Kata ya Kalya.
Tupo Shule ya Sekondari Kyala (Uvinza), Mkoa wa Kigoma, katika Maadhimisho ya Siku ya Hedhi Salama yenye kaulimbiu isemayo: βUlimwengu wenye huduma rafiki za hedhi salama.β
Maadhimisho haya yanalenga kujifunza kwa pamoja, kuongeza uelewa kuhusu hedhi, kuvunja unyanyapaa.
Kupitia mradi huu wa elimu unaolenga kuondoa vikwazo na kuwezesha mazingira bora kwa watoto wote kupata elimu bora, bila kujali hali zao za kijamii au kiuchumi, tunaendelea kushirikiana kwa karibu na wazazi ili wawe sehemu muhimu ya maendeleo na mafanikio ya watoto wao.
Delivering school supplies that inspire learning, restore hope, and help build brighter futures for children. β¨
A backpack. πβ¨A notebook. ποΈβ¨A teacher. π¨βπ«β¨A pad.β¨A safe place to belong. π
Because for every child, education is not a privilege β it is a fundamental right.
Tunawatakia Watanzania wote Sikukuu njema ya Eid al-Adha iliyojaa amani, furaha na baraka tele. π€
Sikukuu hii iwe chachu ya kuendeleza upendo, mshikamano, kujitoa na kuwajali wengine katika jamii zetu, huku tukidumisha moyo wa huruma, utu na umoja.
ππ Eid Mubarak! β¨
What pushes a 15-year-old like Shabani out of school and what brings him back? πβ¨
Find out more about Shabaniβs journey
π https://t.co/9YzM9FroSD
Seeds are at the center of our food systems, cultures and survival; Yet indigenous seed systems continue to be threatened by industrial agriculture, restrictive policies and corporate-controlled food systems.
~Veronica - Our Young Advocate with Seed Sovereignity Projecy
Are you a young person in Tanga City Council ready to document whatβs really happening in your community and turn it into evidence that drives change?
We are looking for Research Assistants to join a Youth-Led Research in Tanga City Council
π https://t.co/wRJEzHb71R
Umekua wakati mzuri leo kushiriki katika kipindi cha #NuruYaAsubuhi cha Zoe Tv Tanzanka - tukigusia masuala muhimu yanayowagusa vijana wa leo (changamoto wanazokutana nazo pamoja na fursa zilizopo)
What does change look like?
For Hussein, it meant choosing a different path. Growing up, Hussein witnessed a painful cycle repeated over and over again, boys dropping out of school, dreams cut short, and futures shaped by pressure instead of purpose.
π https://t.co/LSl0GfdUq2
Tunajivunia hatua kubwa tulizopiga katika kuwawezesha mabinti vijana kiuchumi mkoani Dodoma πͺβ¨
Kupitia safari hii, tumewafikia mamia ya walengwa na kuwapatia fursa ya kuongeza maarifa, ujuzi, na mtazamo chanya wa maisha
Ili kujenga taifa bora. Mchango wa kila mmoja wetu ni muhimu sana. Leo kwa nafasi ya kipekee tunatambua mchango wa kila mmoja anayetoa muda, jasho, maarifa na juhudi kuijenga Tanzania bora na imara. Tunakutakia heri ya siku ya wafanyakazi 202
#Wearerestless#Youthpower#meimosi.