Mheshimiwa Rais,
Maisha yangu yako katika hatari kubwa. Tafadhali, naomba kwa unyenyekevu mkubwa unisikilize. Ningependa kuishi ili niweze kuwaona watoto wangu wakikua, kuoa na kuolewa mbele ya macho yangu, na ikiwezekana, niweze kufurahia wajukuu wangu ikiwa Mungu atanijalia maisha marefu. Kila mtu anatamani kuishi maisha marefu yenye amani na uzee mwema. Kwa sasa, kuna watu ambao wananifuatilia kwa karibu sana. Hata jioni ya leo, wameonekana maeneo ya nyumbani kwangu, na nina hofu kwamba wangeweza hata kumdhuru mtu yeyote ambaye si mimi. Kwa hali hii, naona ni bora nijiweke mikononi mwa mamlaka kwa hiari yangu kuliko kuendelea kuishi kwa hofu kila siku.Niko tayari kuwekwa mahabusu kwa hiari yangu hadi kipindi cha uchaguzi kipite, kwa sababu naamini kufanya hivyo kutaleta utulivu kwa wazazi wangu, mke wangu Neema, na watoto wangu. Najua watahisi angalau faraja kwamba niko salama.
Ninaomba kwa moyo mkunjufu ulinzi na msaada wako, Mheshimiwa Rais.
Hivi viongozi wetu ndo wanatufanyia maendeleo ama kodi za wananchi na wao ni wasimamizi? Kwanini sifa zinaenda kwao tu na si kwa mwananchi anayelipa kodi?? Safari ni Ndefu saaaana!
Look, Trump is trying to oversaturate us with nonstop chaos so we canโt react meaningfully to any one thing.
But Friday's global stop work order on almost all U.S. aid is dumb and murderous. You need to know about it.
1/ A short๐งตon this evil.
https://t.co/lK7WZ4RFD0
Naona kisasi kinavyopandikizwa miongoni mwa familia za Watanzania! wanaotenda uovu na wanaotendewa uovu wanaishi katika ujirani uleule! Tunaandaa mwishowetu wenyewe! Uhai hauishii kwako ni vizazi!
Waziri wa Elimu Tanzania: Kusudi la kusimamia mitihani kwa bunduki ni nini? kwa nini tunarithi ujinga? Ndiyo maana tunawatu bado wanafikiri utekaji na kudhulumu nafsi zisizo na hatia ni njia ya kuthibiti wapinzani! Tufikiri nje ya box!
Hakuna dhambi kubwa kama kushuhudia uovu na kukaa kimyaa! Mtu anatekwa na kuuawa Watanzania mlioshuhudia tukio hilo mpo kimyaa! Mungu ni Mkuu Kiliko Mioyo Yetu!
Heri ya miaka 20 ya @AmaniGirls_Org
Shirika la Amani Girls linaadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwake, likiwa limejikita katika kutoa huduma kwa jamii katika programu zake za elimu, afya, ulinzi na usalama wa jamii.
#AmaniGirls#AGOat20