Mwaka jana wife (@YourFrenchFry )alinifunza somo kubwa sana la kupanga ratiba(bajeti) na sio kukurupuka..akimaanisha ada inatakiwa itolewe yote coz sio jambo jipya unajua inalipwa lini,kodi sio jambo jipya pia na ilinisidia na naishi nayo kiukweli na inasaidia..Tuishi kwa mipango