SOKA: “ikitokea nimepotezwa, msilie pambaneni na msikubali usaliti.”
MDUDE: “Kama kuna tuhuma, wanipigie niende… kwa nini kunivizia?”
BUYOBE: “nikipotea ghafla, kosa langu litakuwa kutumia haki yangu ya uhuru wa kujieleza”
@Sativa255 Hii siku Mkristo akila shaba, Muislam anamuokota. Muislam akila shaba, mpagani anamuokota and vice versa.
Hakukuwa na udini wala ukabila, kila mmoja alikuwa mlinzi wa maisha ya mwenzie.
Nasikitika kuona mnagawanywa ki Dini💔
"The oppressor must be harassed until his doom. He must have no peace by day or by night. The slaves have always outnumbered the slavemasters. The power of the oppressor rests upon the submission of the people." - Huey P. Newton
Simba anzia designer wa jersey, huyo photographer sjui nini wote waseng* waseng* tuu. Jersey marangi kama mti christmas, vinameta meta tuu manina. No quality no nini mamaye.