#TajiriLaKihaya
Club za Masaki ukijichanganya Ulipe kwa SIMU bill usiku mmoja zaidi ya 1m…
WanaSave namba yako kila Tukio unalipata wa kwanza😂
Hawa Link In Dar… toka mwaka Juzi hawachoki tu- Hawajali kama mtu ulishaokoka umeacha Uhuni wao wanatuma tu😂😅🙌🏾🙌🏽
Ukiwa na malengo fulani makubwa,hata ukutane na mdada mzuri kuna wakati unatamani kuomba namba punde alam fulani inapiga kichwani ina kukumbusha yakua kibunda kinaenda kuchungulia shimoni.😀😀🙌
Usiruhusu wema wako ubadilishwe kuwa utumwa. Unapojitoa sana kwa wasio na shukrani, wanageuza msaada wako kuwa mzigo wako. Kuanzia leo, tunabeba vilivyo vyetu tu. ✍🏾
DUNIA HAINA HURUMA
Jamaa katoka Kenya kuja kujitafta jijini Mwanza, cha kwanza akadaka mke wa kumsaidia majukumu 😂
Wakapata watoto wawili ila jamaa akawa bado hata kazi tu hajapata
Wazee wa gusa achia twende kwao wakaisimamia mechi kwa mkewe 😂
Jana jamaa anatoka kibaruani akakuta mke kasepa na watoto wote. Ila kaacha kamnunulia kilo moja ya unga, dagaa wakavu, mafuta na nyanya 😂😂
Mwana kalia kwa uchungu sana
1: Nilishawahi KUJIAJIRI (Self employment) , pia Nikajaribu KUAJIRIWA (EMPLOYEE) itoshe kusema utajiri rahisi ni UTAJIRI wa KURITHI (Generational wealth)
2: Nilishawahi Date manzi mwenye vitu vyangu, nikaonja NDOA na mwanamke niliempenda, nishawahi kuwa SINGLE pia, Itoshe kusema Mwanamke wa Kutafutiwa na wazazi ndo MKE BORA (Arranged Marriage)
Kutoka kwa Ye #KanyeWest ameshea nasi Wafalme wake 12 wa Rap anaowaaminia kwenye muziki wa HipHop!
Kwenye Orodha ya rapa wake hao 12 kuna wasanii kama 👇
- Lil Wayne
- Kanye West
- Jay Z
- Drake
- BIG Notorious
- 2Pac
- 50 Cent
- Eminem
- LL Cool J
- Run DMC
- Nas
- Rakim
Vuta kushoto kuona list yake ya rapa 12....
#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha ✍ @shneida_infos
Kuna kipindi club kulikua na mikwaju bana SHEKINI, GALADO, ENOISY, SKELEWU, SHOKI, SHAKITI BOBO, DURO, WASH , OYOYO, NO TIME, ALL OVER....
yani ulikua ukitoka club unatoka na jasho la hatari kwa kuruka majoka wanigeria walijua kubless hiyo era 😅😅😅
Wabongo wanatembea sana nchi za watu, kuna jamaa walikuwa gerezani Nepal,
Wakati machafuko yanatokea mwaka jana magereza yalivunjwa na wao ndio wakapata nafasi ya kuchomoka wakaingia India🙌