Kuna majira kwa kila mtu,, majira ya furaha na ya huzuni pia,, majira ya kujifunza na kufundisha,. Majira kwa kila jambo na hakuna majira yanayodumu,, kikubwa nikujua umuhimu wa majira uliyopo
Uwinga ni kazi nzuri sana ina hela, kuliko kuajiriwa, na Mawinga wana akili ya maisha kuliko wanaolipwa mara 12 kwa mwaka mzima. But Mawinga wengi nawajua walipoitwa tu na Utumishi hawakuangalia mara mbili ๐