@BracuszCadabra so kaka ni wazi sasa Depu will be ofdloaded either permanently or temporaly, na je coach ameona kuna ni.10 pale ndani ? 6 naskia tumevamia chaka la watu huko ?
@BracuszCadabra nimekupata kaka sema kiukweli hakuna namna nngekubali kumuacha henry david baada ya majeraha ya pacome, yaani Edmund anahitaji kujikaza tu bhaasi