Mwanangu wewe bado mdogo sana, ila nina uhakika ukikua utajua nini maana ya maisha na utajua kipimo Cha ujinga wako kipo kati ya unachokijua, ulichokuwa ukikitarajia na uhalisia
Nakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu ili ukue ujue maisha hayataki mzaha yanakuhitaji uwe serious
Uwe makini sana unapokuwa kwenye nyakati za UTELE (Abundance). Zile nyakati ambazo una kipato kizuri, kazi inaenda sawa, biashara haina tatizo lolote, una watu wengi wanaokuzunguka n.k
Watu wengi wakipitia KIPINDI hiki, huwa wanajisahau kuwa kinaweza kufuatiwa na kipindi cha UCHACHE (Scarcity). Wanatumia kila wanachopata HOVYO, matokeo yake kipindi hiki kikipita wanaanza KUTESEKA.
Kumbuka, MUNGU anaporuhusu kipindi cha UTELE mwingi kwenye maisha yako, anajua utatumia AKILI kujiandaa kwa ajili ya KESHO. Uwe makini USILE HADI MBEGU ya kukusaidia kesho.
See You At The Top
Want to leave 9 to 5 jobs?
You can make $๐๐๐๐ ๐๐ฏ๐๐ซ๐ฒ ๐ฆ๐จ๐ง๐ญ๐ก knowing Cybersecurity.
Like and comment ' ๐๐ฒ๐๐๐ซ ' and I'll send you the detailed guide for FREE.
๐๐จ๐ฎ ๐ฆ๐ฎ๐ฌ๐ญ ๐๐จ๐ฅ๐ฅ๐จ๐ฐ ๐ฆ๐ ๐ญ๐จ ๐ ๐๐ญ ๐ ๐๐ ๐ง๐จ๐ฐ.
FREE only for the next 48 hours.