@TAMISEMI2015 @wizara_elimuTz Hii ni wizara nyeti Sana katika upande wa watumishi lakin naiomba mfanye uchunguzi kuhusu wilaya ya Hanang' sector ya Elimu malipo ya walimu ya usimamiaji wa mtihani darasa la nne mwaka 2018 hayakufanyika pesa wamekula mwaka huu pia Hadi hivi Sasa hawajalipa wanawanyanyasa watu