Unapatana na dem online, unaanza kumkatia na anaingia box na kukuambia hadate ukiwa faceless then after ashakutumia pics zake uanze kumtamani, anakuitisha pic. Unadhani ushabag huyo dem na unatuma ile yenye umeishi kuitumia milele na view once. Anatake time kutoa comment yake.