Back in primary school kwanza wale wasee tulikuwa public polling stations ilikuwa almost every term Kuna student ako na macho imefura na claim ni ati alinyima paka chakula ikamrushia kakitu kwa macho. Nowadays watoto wa simu hizi siwaoni na hizo staffs what was happening guys๐