Huwezi kunielewa, siku hizi hakuna utaratibu wa kula kiapo kabla ya kupewa kadi ya CCM hivyo utakuwa huijui ahadi namba nane ya mwana CCM https://t.co/j5kuGhmZ3i
@MwanaMonduli Jipange upya bro, madeni ya serikal ni nyeti? Serikali ni nan? Listed companies zenyew znatakiwa kudisclose taarifa zote Ya kiwepo maden,
@salim_alkhasas Tutaongea tu lkn makato yamezidi,that 15%&27% is too mch, 15% bado ni kodi ya wananchi,lengo lilikuwa kusaidiana sio kukomoana,no 1 is happ