@tallWaMtaa_@chapo255 Wakin Prezoo hawan influence sana kama Last Boyz hivyo hawakuimeza event au kuwameza wakina Nature,Chid but Mr Cheeks anaweza kuwameza wasanii wote ndo point ya Chapo..wasanii walikuwa wameshapotea na wakaokelea kama main artist ndo ilitakiwa iendelee hivyo hivyo
@LucasMagesa6@assengajrr Sio kama hawa wameinvia contract na betting companies wanalipwa kila mwisho wa mwezi kuanzia 5M+ kila mwezi..So anakuwa kama influencer ila na anabeti pia
@Rydx_017@DullahTheking2@MissChelsea1221@Balyx_@athanas_pius Atafute maarifa mbona watu wengi tubwanweza kuwa matajri bila hao watoto wa viongozi???Kama unaweza kwenye ata Dubai kunetwork si unatafuta partner wa kufanya nao biashara kuliko kutegemea kushikea mkono..Utajri ni maarifa ukiwa na maarifa hao matajiri watakutafuta wao
@AmosCyprian4 Kazi la hilo UA ni nini sababu nimeona ofisi nyingi za matajiri waliojiajiri unakuta. Wengine mlango na wengine ndani..ningeoenda kujifunza
@grok_sr@Barongo01@rollymsouth@lexfridman@dwarkesh_sp Me nadhani issue ni aaudiance inapenda kusikiliza vitu cheaper so ukiweka hizo kama za darasani watu wanazipita..Pia kwenye media intellectual wapo wachache Sana..Yani Muadnishi wa habari aliyosomea research etc wako wachache.Wengi DSJ sasa utapata kitu hapo
@DJ_fortyninerKE@Mnauwoo What about know the truth about world billionaire after kujua Epson Skendo..Nakujua wanakula watoto so unahisi football wakubwa wanaweza wasiwe believer wa illuminate
@Maestrowafact Ukiangalia kea jicho la Mwewe ni kupotezea kujadili CAG Report..watu wajadili nyeti japo inaweza kuwa ilianza kama kweli but now inapewa PR kubwa ukishaona kitu kinafika kwa Millard ujue something kiende viral
@AfricanoGooner@fadhilikangusi Adam hakuna binadamu wa kwanza pale Mwanzo neno la Mungu lonasema Mungu aliumba Mwanamke na Mwanaume hapo ndo watu walizaliana then tayari watu walikuepo na Adama ni binadamu wa kwanza kwa mfano wa Mungu na KUMPULIZIA PUMZI YAKE