Muungano uangaliwe Upya.
How ukiwa na leseni ya Udereva ya Zanzibar unaweza kuitumia Tanganyika, Lakini Leseni ya Udereva Tanzania Bara haiwezi kutumika Zanzibar
: Bellingham: "It's been very difficult for Trent, he was Jota's teammate for 5 years. Trent is now reflecting, thinking and dealing with this in his own way."
@chibelube Kipindi napiga bodaboda Kuna demu mmoja Dodoma alinituma Supermarket nikamletee Broccoli....Nikafika nikamwambia hivyo vitu hamna "Akaniuliza ni kwamba hamna au hujui ni kitu gani??"" Aise nilicheka kwasababu alisema ukweli.😂😂😂😂😂🙌💔
Kesi imehairishwa mpaka 2.6.2025.
Sababu ya kuhairisha ni “upelelezi haujakamilika”.
Yani unamkamata mtu unamuweka ndani kwa miezi huku ukiendelea na UPELELEZI. Tuna nchi ya AJABU sana. Hii aibu dunia inaona, wanaowapa MIKOPO WANAONA.
#FreeTunduLissu#NoReformsNoElection
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎