@George_Ambangil Huyu dogo ni very talented player ila mimi navyojua ni kwamba Spain kuna team nyingi dhaifu sana hata style of play in spain inaruhusu mchezaji mvivu kushine . Mabeki wa spain wanakaba kwa macho sana. Aje kwa Malkia mwalimu wa boli @George_Ambangil
We are not just selling food we are telling stories of every ingredients per meal. We also do delivery at low cost across Dar. Just call or whatsup 0785126822
Kila ukiangalia watua nia kugombea ubunge , unagundua kama taifa tuna safari ndefu sana ya kupata katiba mpya itakayoset standard za mamlaka za hii mihimili mitatu au minne tukiamua.
@k_mjege@IAMartin_ Brother kuna muda kama huna information at least kaa kimya yani mtu anaandika post ambayo ina akisi uhalisia wa maisha yetu ya Watanzania wewe unakuja na hoja very cheap kiasi hicho then kwenye handle yako hujaogopa kuweka Phd.
@HecheJohn@MariaSTsehai Okay why tunatumia phrases kama vile, โ Mahakama isikubali kutumika?โ Mi ndo maana kuna muda nawaelewa wale waliokuwa wanaquation ni namna gani No reforms No election. Kwasababu hawakuambiwa how itakuwa executed, yani leo hii tunaweza kurely kwenye maamuzi ya mahamakma? Really?