Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐️
@SharifaSabrina@kilepi_tweve Watu wasiingie kwenye ndoa kabla ya kufanya yafuatayo
1. Kupima virusi vya ukimwi
2. Kufanya check up ya mfumo wa uzaz KE/ME
3. Blood group KE na ME
4. Kupima magonjwa ya zinaa
5. HEPATITIS B
Mmoja wenu akikutikana na tatizo litibie kwanza ndo muoane
Mimi nilikuwa winner wa STR8 muzik freestlye 2010 lake zone, nikawa winner wa serengeti fiesta freestyle 2010 na nikashiriki kitaifa tukaingia fainali na Rayvanny Coco beach...Hunijui
Mimi naye najuanga tu i will be great oneday. I always feel it in my blood. Ata si mambo na kukuwa delusional and sijui manifesting. I just know i will be great, its just that the right time bado haijafika. Sai mimi ni bitcoin 2009
Ukitaka kujua kuwa hii Nchi haitaki kukua kiuchumi kimakusudi, inataka wananchi wawe masikini ni rahisi sana.
Hebu Chunguza taratibu za kusajili kampuni mpaka inakamilika kuanzia brela, TRA, leseni na Vibali
Chunguza Taratibu kodi zote zilivyo na business regulation
Juzi kwenye kile Kikao cha wale walivaa sare nlisikia kiranja anasema, " Mwanamke asikusumbue, akifanya tofauti piga chini chukua mwingine", Nikazima tv nikasonya huku nalia😂💔,..
Kwa , hekima yangu ndogo sana , nadhani waliosimama pamoja kwenye ndoa/mahusiano sio kwamba hawakuumizana, au hazipo nyakati za machozi ila, Walichagua msamaha kwenye hukumu, na walichagua upendo kwenye chuki,..
Ni hayo tu✍🙌.
KAMA UNAENDELEA KUJIFICHA, HUTAWAHI KUJUA KAMA KWELI UNAPENDWA.
Watu wanaweza kukupenda kwa tabasamu lako, kwa nguvu unayoonyesha, kwa namna unavyoonekana uko sawa kila wakati. Lakini huyo si wewe kamili. Huo ni upande uliouchagua kuonyesha.
THREAD 🧵
Miaka mi-5 👉🏽Baba ni genius kabisa!
Miaka 7 – Baba anajua karibu kila kitu.
Miaka 10 – Labda Baba si sahihi kila mara.
Miaka 12 – Baba haelewi mambo vizuri.
Miaka 14 – Baba anaonekana kama amepoteza akili.
Miaka 16 – Ushauri wa Baba hauna maana.
Miaka 18 – Baba anajua nini sasa?
Miaka 22 – Maneno ya Baba ni upuuzi.
Miaka 24 – Mimi ni mwerevu kuliko Baba.
Miaka 26 – Kumbe ushauri wa Baba unaingia akilini wakati mwingine.
Miaka 30 – Naona bora nimuulize Baba kuhusu hili.
Miaka 40 – Sishangai Baba aliwezaje kubeba yote haya.
Miaka 45 – Kumbe Baba alikuwa sahihi siku zote.
Miaka 50 – Laiti Baba angekuwepo bado, ningekuwa najifunza kwake.
- HII NI WACHACHE WATAELEWA⏳-
Rhymes Of Magic Attraction {ROMA} {MKATO}
Sijawahi kujua wanaoisema Pen ya mwana huwa wanazingatia nini haswa, ama ndio CHUKI binafsi plus WIVU
Pen ipo na wino mzito, halafu kilichoandikwa kinawasilishwa kwa njia rahisi kwa hadhira.
Enewei siku nyingine ya kukumbusha kuwa usiache kufurahi japokuwa mambo hayajajipa 👊🏾
"HATULIPII UHAI"🎶