Mkuu wa Kikosi cha KMKM, Comodore Azana Hassan Msingiri ametuma salamu kwa timu yoyote katika Ligi Kuu ya PBZ kwamba ubingwa wa 2026-2027 kombe litarudi Baharini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amehudhuria Tamasha la Usiku wa Kizimkazi(Kizimkazi Festival) lililofanyika Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 13 Agosti 2026. Tamasha hilo limeongozwa na
Zanzibar President Dr. Hussein Ali Mwinyi congratulated Abdi Mahmoud Abdi on his appointment as CCM Zanzibar Deputy Secretary-General, urging him to work diligently and pledging full support. Abdi vowed to serve the party effectively.
Zanzibar’s KVZ FC and KMKM SC face off today for the Community Shield. Defending champions KMKM SC will aim to retain the title. Who will lift the trophy? Kickoff at Mao Zedong Stadium, 10:00 PM.
President Samia Suluhu Hassan has inaugurated the Julius Nyerere Hydropower Plant in Rufiji, Pwani Region. The strategic project generates 2, 115 MW through nine 235 MW turbines and cost about TSh 7. 452 trillion.
Barcelona imemsajili Rodri kutoka Manchester City kwa pauni milioni 65. Kiungo huyo wa Ballon d'Or 2024 amesaini mkataba wa miaka minne, akirejea La Liga baada ya miaka saba England.
Trump ametishia kuishambulia Oman ikiwa itazuia juhudi za kutatua mgogoro wa Mlango wa Hormuz, huku mazungumzo ya Marekani na Iran yakikwama. Erdoğan amemtaka aendeleze diplomasia ili kupunguza mvutano.
Netanyahu amepongeza Trump na Scott Bessent kwa vikwazo vipya dhidi ya Iran, akisema vinaweka gharama kubwa kwa utawala huo na wanaounga mkono uchokozi wake.