Kuna wakati unadaiwa kodi ya pango, unadaiwa ada ya madogo.
Home tambo linaita sana wanataka uwatumie chochote kitu…..na wewe mbanga zako zote zinasoma negative.
Kila unayemgusa Chali kama Marco, hadi unadata🤬 Ila unajikaza jamii isijue umetikisika.
Mungu alivyo waajabu unashangaa tu umeumaliza mwaka na ume-clear kila kitu.
Father/Mother house hakudai, na madogo wanakula chaki ka’ kaida!!
Uko chimbo unakula zako mbuzi choma au mdudu na 🍻 baridiiii huku ukijiuliza umewezaje wezaje kupiga hizi sarakasi!!
Mungu Striker nyie tumpeni sana maua yake🙏
Kupata mafanikio katika biashara ni kujifunza pia kuepuka changamoto.
1.Usisahau kufanya utafiti wa soko.
2.Usiridhike na wateja wachache – tafuta wateja wapya.
3.Epuka kutumia faida zote; weka akiba!
Pakua App ya KuzaBusiness kupata suluhisho,!