@fumbokhanJr Kuna aina nyingi za ugali mkuu na radha tofauti tofauti kuna wa muhogo,mahindi,mtama,ulezi,wa ndizi,nakila ugali uwa mtamu kwa mboga yake ila wacha nikupe hii kwasasi wangoni UGALI WA MAYAU UNANOGA NA CHIDOYO (yaani ugali wa muhogo unanoga na nyama)