Kijana Achana na hawa watu kabla hujapata hela...
1.BARMAIDS.
2.BEKITATU.
3.SALOON WORKERS.
4. CLUB LADIES.
5. UNIVERSITY STUDENTS.
6.PROSTITUTES.
7.BUS HOSTESS.
8.LODGE/HOTEL WORKERS.
9.MAMA NTILIE.
Wako exposed sana na wanalombwa Sana
Nina mengi mno ya kuwaambia Watanzania ila nikiongea nitawasaidia mashetani ( chama cha CCM).
Kama wewe ni Mtanzania na bado unaunga mkono CCM baada ya mauaji ya October 29 2025 jua kwamba wewe ni shetani pia sawa sawa na Samia.
Uuaji wa wananchi ambao wanaandamaji hata kama wanachoma vitu adhabu yake sio rasasi za moto na ndio maana mnaona dunia nzima inasimama na waandamanaji wa Iran ambao nao kama Watanzania walichoma moto vitu.
Watanzania Msikubali CCM kuwa gaslight kuwa waandamanaji walistahili kuuawa, support ya dunia kwa Iran ni tosha kuwaambia kuwa CCM na progadannda za CCM sio.
Serikali ya Iran kama serikali ya Tanzania haikubali kuwa wananchi wamewakataa. Serikali ya Iran pia inadai ni Mosaad ya Israel na Marekani ndio imeleeta maandamano.
Kumbukeni siku ya kwanza kabisa Samia akidai walioandamana walitoka nje ya nchi, Baadae akadai waandamanaji walilipwa kuandamana na watu wa nje. Baadae akadai maandamaji walidanganyika.
Serikali za kishetani Kama Iran na Tanznaia siku zote huwa hawakubali makosa, siku zote makosa huwa ni ya wetu wengine.
Nitarudia Instagram, na wananchi mta focus tena na ukombozi wa nchi yetu ili watoto na wajuu wetu wakute Tanzania huru. For now naomba dua tu kila siku muache kutekwa akili na watu maarufu na drama zao.
Mtz una HIV, dawa sasa unaambiwa atatengeza mkwe wa muuaji mkuu hapo hapo Tz na bado unaweka bando kucomment juu za kingโangโa na Dai au Nandy na mafamba yake ( anaingia dukani ananunua original anarudisha them ananunua famba anawaringishia Nazijua hizo bag kama nimezizaa) then Watz mnapoteza bando kuwafatilia instead of kufatilia accounts za ukombozi instead tiktok na Discord.
Tubadilike.
"Nyie Serikali mbona mnamambo ya kitoto uhaini mnaujua nyie, Mara kitoto kidogo mmekikipa kesi ya uhaini Mara ugaidi magaidi mnawajua nyie" Clemence Mwandambo