Nimeamka dakika kaa kumi hivi macho ikiwa imekataa kufunguka naona tu giza karibu nidhani mdalasini imanigeuza daddy owen. Kumbe jana after zimeshika nilifika kejani nikalala chini ya bed na kumejaa giza😂
Cameras were magically on just when a random Nigerian woman followed the Kenyan troup passing all the security protocol to praise Ruto...buana someone tell Itumbi awache hizi vitimbi, we know such silly scripts
Hapo Luthuli kuna duka ya nguo sijui inakuanga 3rd floor kwa corner wanauza nguo mzuri sana.Nilienda nikashika jeans moja hatari sana nikaonyeshwa changing room nikaingia na nyuma kama Ngiri.
Nikachomoa ile trouser yangu nkarusha chini then nikaskia baridi ingine hatari upande ya nyuma buana nkassume nkadhani ni zile shimo ziko kwa my 4 year old sambusa.
It's until nmemaliza kufit ndio naangalia nyuma naona ile stage ya kwenda Westlands Kinoo na Regen buana.Kumbe nmekuwa nikipanua isundi kwa balcony naonyesha makanga hapo Archives.Kwa ufupi nasema Luthuli kila kitu ni ukora.