Standing in solidarity with the great people of Tanzania who are defying odds to protest against electoral injustice and impunity! Standing in solidarity with comrade Tundu Lissu, the main opposition leader who remains detained since April and his party CHADEMA banned from running in the sham election! The young people of Africa are speaking - let all despots listen.
Kwenye harusi yangu;
Mwanamke wangu analeta ndugu zake 10
Mimi naleta ndugu zangu 10. Shughuli inaisha in 2 hrs—maximum
Upuuzi wa kujazana ukumbini km vile nzi kaona kinyesi nawaachia washamba na wajinga
Ndoa ni makaratasi—legal status. Vingine zaidi ya hapo ni UTOTO & SIFA
@Sirjeff_D Kwangu ilikiwa hivi: Her side 12, My side 12 and Shared friends 12.
No vikao no michango
Kanisani then direct to the Hotel for the family dinner. We had a convoy of about 20 cars as all invited people came on their own vehicles. Our oder was enough drinks and appropriate meal
Hatua muhimu ya kutuma ujumbe kwa hawa “Bongo celebraties” ni kuacha kujichekesha katika mambo yao. Uso wa mbuzi. Unsubscribe kwenye YouTube channel zao. Unfollow kurasa zao. Wanyimeni pesa zenu. Hadi waanze kusimama na umma. Hao ni wapambe wa wahuni wanaotuteka na kutupoteza.
"Kama Kiongozi (Rais) akiongoza nchi kwa miaka 10 wewe mwenza wa Rais, uwe ni mke wa Rais au mume wa Rais unachukua kwa mkupuo asilimia 25, anapomaliza tu awamu yake na wewe unapokea asilimia 25 ya mshahara wake wote wa miaka 10. Kwa mfano Rais alikuwa anapokea trilioni moja kwa miaka 10 maana yake anapostaafu wewe unapokea bilioni 250 taslimu, unajua maana B wewe, bilioni, ulikuwa tu mke wa Rais au ulikuwa mume wa Rais kwa miaka 10 una bilioni 250, hiyo ni sheria iliyopitishwa na bunge lile lililoteuliwa bila kuchujwa, yaani lile bunge lililopitishwa na chama kimoja mwaka 2020. Je, kama wale wabunge, kama watu waliobobea wote kwenye vyama vingi, kama sheria ya uchaguzi ingekuwa nzuri na kungekuwa na tume huru, wakawepo watu kutoka ACT, CUF, CHADEMA na vingine wakapita wengi wakaingia bungeni, wangeruhusu hii sheria ipite? Kama bunge lingekuwa 'live' hizi sheria zikiwa zinatungwa wananchi wangeruhusu? Je, hizo bilioni 250 anazopokea mtu mmoja unaweza kutengeneza barabara ngapi katika nchi yetu? Visima vya maji vingekuwa vingi kiasi gani? Je, mikopo ya kuwafanya vijana wapate kazi ingekuwa ni mingapi? Hiyo ni katiba, Kwa hiyo kama maisha yako ni duni leo katiba yetu ina mchango asilimia 100"- Dkt. Nkya.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) Dkt. Ananilea Nkya akizungumza katika Kongamano la Katiba linalofanyika mkoani Mbeya siku ya Jumamosi tarehe 27 Julai 2024 mkoani Mbeya.
Siasa sio "hobby". Hata mimi nilikuaga na huo ujinga. Ushakua mtu mzima jiheshimu na ufuatilie siasa za nchi yako.
Anza kuuliza ujue hata kama ni vya kijinga wako watu wengi who will HAPPILY help you.
Zijue siasa za nchi yako. Hauna nchi nyingine. Jiheshimu and grow up 🫵🏾
Adrian Durham on Chelsea Football Club: “When your best player this season has been Conor Gallagher mainly because he runs around a lot, you know it’s been a pretty terrible season.” (talkSPORT)
Hii post yangu ya kuandika saa 9 usiku naiandika kwa uchungu mpaka basi.
Umeingia ofisini saa 2 asb, ukakuta hakuna umeme umekaa siku nzima ukisuniri umeme. Unaamua kuondoka saa 11 jioni, ukijifariji kwamba utaukuta umeme nyumbani angalau ufanye kazi za wateja wako.
Unafika nyumbani saa 1 kasoro unakuta hakuna umeme wanakuambia wamekata saa 12 jioni. Unajaribu kuusubiri umeme Hadi saa 6 usiku, hakuna umeme.
Unaamua kwenda kulala, kitandani una mtoto wa miezi 10 unakuta anahangaika joto usiku mzima analia. Unashindwa hata kulala. Huku ukiwa na stress za kazi za watu. Mwisho wa siku muendelee kusema Vijana wa Tanzania ni wavivu, hawajitumi, uzembe mwingi...
Asubuhi nitaamka, unakuta sms za TRA wanakusubiri Kodi zao za ajabu za kubambikiwa, Jiji na leseni zao wanaakusubiri 🙆🏾♂️, tozo nyingi nyingi... Daaahhh!!
Anyway mnaopush agenda, na hashtags ni MAJASIRI sana, Mungu awasaidie kuona MAISHA HALISI kuliko kuona Pesa. Sijui mnaishije wenzetu, sijui mko Tanzania ya wapi wenzetu 🥹
Tunajitekenya wenyewe tunacheka wenyewe. Tujifunze kupendana Kwanza na tujifunze kujaliana. Pia tujifunze kuambizana ukweli. UBINAFSI unarudisha Maendeleo. Na ubinafsi wa watu kadhaa umekwamisha Taifa kufika kwenye malengo.
SIASA TOO MUCH IS HURTFUL AND HURTFUL