Baada ya takribani miezi miwili, Men Men Men โ The Podcast tumerudi
@MichaelBaruti na @leslieBwogo wanazungumza kuhusu uanaume, hisia, mahusiano na kujifunza kutokana na maisha.
Kuzeeka ni lazima, lakini kuwa mwanaume bora ni uamuzi.
https://t.co/aXlSTJtkeP
Urafiki una nguvu ya kukuathiri kuliko unavyofikiri.
Watu unaowazunguka, tabia wanazozikubali na maamuzi wanayofanya vinaweza kuanza kuwa sehemu ya maisha yako.
Chagua mazingira yanayokuza mtu unayetaka kuwa, si yanayokufanya uwe mtu usiyetaka kuwa.
#MenMenMenPodcast
Si lazima ujifunze kila kitu kwa kupitia mwenyewe.
Kama mwanaume, tafuta mazingira yenye watu wanaokuzidi uzoefu na maarifa. Sikiliza masomo yao, jifunze kutokana na makosa yao na usisubiri maisha yakufundishe kwa gharama kubwa.
#MenMenMenPodcast
ูุจูู ุฃู ุชูุนููุจ ุบูุฑูู ุชุฃู ูููู ูููุณูู ูู ู ูุฑุขุฉ
Kabla ya kuzungumzia mapungufu ya wengine, jitazame kwanza kwenye kioo.