๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐
"Jukumu la utoaji haki nchini kwa mujibu wa ibara ya 107(a) iko chini ya mhimili wa Mahakama na mhimili huo kwa mujibu wa Katiba yetu uko huru, hauingiliwi na Serikali. Uhuru huo unatumika vizuri na uendelee kutumika vizuri." - Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu
#MamaYukoKazini
๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ '๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐' ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu amewataka viongozi waliokula kiapo kwenda kuleta mabadiliko kwa kufanya kazi vizuri na kwa bidii.
#MamaYukoKazini
๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐
Mama amewapatia wakazi wa Kata ya Mwasala, Tabora suluhisho la kudumu kwa changamoto za maji.
#MamaYukoKazini
๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐,๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐
Mama anatekeleza kwa vitendo dhamira ya kuhakikisha kila mtanzania anapata huduma bora na ya uhakika ya maji safi na salama.
#MamaYukoKazini
๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo watanzania imefanyika katika miaka mitano ya utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi, na sasa chini ya uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu kila mmoja yuko tayari kufanya zaidi miaka mitano ijayo.
#MamaYukoKazini
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari mara baada ya mazungumzo yake na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus ameeleza Tanzania imejidhatiti kudhibiti mlipuko wa virusi vya Marburg.
#MamaYukoKazini
๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐
Tanzania inaendelea kufaidi matunda ya utalii kutokana na kazi kubwa ya kuitangaza nchi inayofanywa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu.
#MamaYukoKazini
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐
Pongezi kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Ghebreyesus kwa uwekezaji mkubwa ambao Serikali inafanya katika kuboresha sekta ya afya nchini.
#MamaYukoKazini
๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐-๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐
Elimu ya kutosha kwa walipa kodi, usimamizi imara pamoja na mazingira salama na rafiki ya kufanya biashara nchini yanawahamasisha watanzania kulipa kodi ili kuijenga nchi yao.
#MamaYukoKazini
๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu amesisitiza mhimili wa Mahakama kuzingatia kanuni za utoaji haki kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kutenda haki kwa haraka na ufanisi.
#MamaYukoKazini
๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐. ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐. ๐๐๐๐๐
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameridhia kwa kauli moja kumpitisha Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea mwenza (Makamu wa Rais) kwa Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
#MkutanoMkuuCCM2025
#CCMImara
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee