We really express Our deepest appreciation for Your untiring efforts to improve the lives of Citizens. Your dedication to fostering Unity and development brings to brighter Nation, We stand with You Baba wa Taifa.
Long live Your Excellency Baba wa Taifa
@SuluhuSamia@PaulKagame Mama wa Taifa natanguliza shuklani kwa kusikia maombi yangu na kuyapa kipawa mbere.
Na kuwatetea wanyonge kutoka Mwese.
Udumu umoja wa Africa
Udumu umoja wa Africa mashariki
Udumu umoja wa Tanzania na Rwanda
Udumu u Raia wa wakimbizi kutoka Rwanda ndani ya Tanzania
Mheshimiwa @Mama Samia!
Mheshimiwa! tunaomba utetezi wa Familia inayo nyanyaswa kisa baadhi ya wana Familia watatu walitembelea Rwanda mwezi wa 7/ 2025, picha walizopiga mmoja wao aka post status ikawa sababu ya kukamatwa na kufungwa tarehe 19/12/25 @SuluhuSamia@PaulKagame
@SuluhuSamia@PaulKagame Mheshimiwa Rais Mama Suluhu
Mheshimiwa Rais Baba Kagame
Tunaomba muafaka wenu wa kutetea na kulinda wananchi wa Tanzania na Rwanda, Nchi mbiri ni wana Africa mashariki wana haki ya kulindwa na kuheshimu mashalti na katiba ya kila Nchi
Mheshimiwa Rais! Mwana nchi mwenye uraia hulindwa na kutetewa ki katiba! Na pale anapo kiiuka sheria hufuatiliwa na kuadhibiwa mwenyewe, hapa kinacho tisha yeye amekamatwa na ndugu zake wawili wamekatwa na wana familia wote wanenyang'anywa simu na kuachwa kwenye mazingira
@SuluhuSamia@PaulKagame Kwa selikali yenu tukufu! Ila inanyanyaswa mno mpaka sasa ninapo andika wana Familia wote wamefungwa, wake zao wamenyanganywa simu na kuwekwa kwenye Khali tete!
@SuluhuSamia@PaulKagame Waripatiwa uraia, wakatii na wakaheshimu mashalti yote, na tangia miaka hiyo yote ni wana chama wa chama cha CCM, inasikitisha leo familia yote inajikuta kwenye maafa ya kuwindwa na kukamatwa na kusulubiwa na kukoseshwa amani! kama wahalifu
Mama wa Taifa Familia hiyo ni watiifu
@SuluhuSamia@PaulKagame Waheshimiwa ma Rais wetu wapendwa wa Africa mashariki, Rwanda na Tanzania no Nchi marafiki na washiriki kwa
1. Majirani
2. Wana Jumuia wa Africa mashariki
3. Tanzania Ina sifa kubwa kuwapokea wakimbizi kutoka Rwanda mwaka 1960s na wakimbizi hao wana sifa kubwa kuwa watiifu