@TotalEnergies you don’t pick calls customer care you don’t returns emails your card center working like open air market no organization nkt kind of things makes us stop your card services
@SuluhuSamia Ziara ya Mhe Rais Rutoni muhimu katika kuimarisha mahusiano lakini Mkutano wa Tanzania-Kenya Business Forum ni muhimu sana.
Rais Samia na Rais Ruto wanaelewa kuwa biashara inaweza kuleta umoja na maendeleo.
Asante kwa maono haya mazuri!
@SuluhuSamia Tunawaunga mkono Rais Samia na Rais Ruto kwa mazungumzo yao na wafanya biashara.
Hii itafungua milango ya uwekezaji mkubwa na kuongeza ajira.
Maisha ya watu yataboresha na nchi zetu zitakua haraka zaidi.
Hongera kwa uongozi bora!

Mr president @WilliamsRuto this is jogoo road around church amry your ministry of roads is very competitive and @KeNHAKenya are doing a wonderful job see the work they are doing asking police officers to monitor locals trying to fix the potholes. Congratulations work well done