Swali kutoka kwa msikilizaji na mtazamaji wetu wa kipindi cha SAUTI ZETU kilichoruka hewani wiki jana akisema " Je, ni vizuri kutumia vidonge vya majira na je, vinatumikaje "
Usikose Jumatano hii saa 2:30 Usiku kupitia TVE @tvetanzania
Siku ya leo, Uongozi wa RUFFO umetoa zawadi kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari Kerezange kwa ufaulu wa DIV1 kidato cha4 Bi Gift Alinga @ruffo_tz limezidi kuimarisha na kuboresha klabu ya SITANYAMAZA iliyopo shuleni hapo na mradi wa HEDHI YANGU zote zinazosimamiwa na @ruffo_tz
Katika maisha ya kila siku, imeonekana kuwa Familia imekuwa ni chanzo cha watu kuwa na matatizo ya afya ya akili na kupelekea vijana wengi kukosa sehemu ya kusemea mambo yao.
Mada hii sio ya kukosa leo saa 2:30 usiku kwenye SAUTI ZETU kupitia chaneli ya @tvetanzania
Kuinua Furaha ya Mtoto ni Kukuza Maendeleo ya Mapema ya Utotoni kwa Mtoto Mwenye Furaha, Chini ya Upendo wa Wazazi na Walezi! 💛✨
🌐 Website : https://t.co/g0kDFwBBig
📍Office : Mikocheni
📩 Email : [email protected]
☎️ Tel : +255 765 670 746
Kuvunja Ukimya : Kuwawezesha Wanawake kupitia Uhamasishaji kuhusu Hedhi (Breaking the Taboo: Empowering Women through Menstruation Awareness)
Ni wakati wa kuvunja unyanyapaa, kuelimishana, na kuwawezesha wanawake na tuadhimishe nguvu, uimara, na uzuri ambao hedhi inawakilisha.
Leo ni siku ya idadi ya watu duniani, Ili Kuongeza nguvu ya usawa wa kijinsia huanza na kuinua sauti za wanawake na wasichana, hata kutoka udogoni! Tukijenga misingi imara mapema, tunawawezesha watoto kuchukua hatamu ya kufungua uwezekano usio na kikomo.
#WorldPopulationDay2023
Jana, jumatano @ruffo_tz ilifanikiwa kushiriki Mkutano mkuu wa mwaka wa mashirika yasiyo ya kiserikali wilaya ya kinondoni. Mkutano huo ulikuwa na lengo la Kujadili changamoto na mchango wa mashirika yasiyo ya kiserikali katika maendeleo ya wilaya ya kinondoni.
@nacongotz
Dondo za malezi “Jinsi mzazi anavyotoa elimu ya awali kwa mtoto”
1️⃣ 👉 Uhamasishwaji wa elimu ya awali kwa mtoto
2️⃣ 👉 Mtoto aanze elimu ya awali mapema
3️⃣ 👉 Kusoma au kupiga hadithi na mtoto mara kwa mara
4️⃣ 👉 Vizuri kujenga mahusiano mazuri na mtoto akiwa kwenye unri mdogo
Leo kwenye Saikolojia " Usione aibu kama una tatizo la afya ya akili "
Je, unatatizo lolote la afya ya akili? wasiliana nasi kwa simu namba 0765670746 na upatiwe msaada wa tatizo la afya ya akili na saikolojia
Muandikishe mtoto wako kwenye LIFE SKILLS - LIKIZO TIME inayoanza Tar 20/6/2023 hadi 13/7/2023
#TOPICS ;
FINANCIAL LITERACY
DECISION MAKING
COMMUNICATION
INTERNET SAFETY
Jiandikishe hapa https://t.co/b4yJ0YHp6E - Link in Bio 🔗
Au Piga simu 0765670746
Saikolojia " Ni vipi tunaweza kutumia mifumo iliyopo kumsaidia mtu mwenye changamoto ya afya ya saikolojia/ afya ya akili? "
Endelea kupata taarifa na elimu za masuala ya saikolijia kila siku za jumatano saa 2:30 usiku kupitia kipindi cha SAUTI ZETU kinachoruka TVE @tvetanzania
Namna ya mzazi kumlinda mtoto dhidi ya ukatili
1️⃣ Kuwa na mawasiliano ya wazi na mtoto wako
2️⃣ Kuwa wa kwanza kutoa elimu dhidi ya vitendo vya ukatili
3️⃣ Kujenga mahusiano ya kuaminiana na mtoto wako
4️⃣ Kuweka mipaka kwa mwanao
5️⃣ Kupata nafasi ya kufanya kazi mbalimbali na mtoto
Usikose mjadala mzito na mashujaa wa kupinga vitendo vya ukatili wakiongelea uzoefu wa matukio ya vitendo vya ukatili dhidi ya watoto wanavyokumbana navyo leo Saa2:30 kwenye kipindi cha SAUTI ZETU channel ya @tvetanzania
🌐 Website : https://t.co/g0kDFwBBig
Uongozi wa @ruffo_tz ukipokea makala ya vitabu vya utetezi na hatua za kupinga vikali ukatili wa kijinsia kutoka Kikundi cha KITUO CHA TAARIFA NA MAARIFA - ( knowledge center )kilichopo kata ya kivule, Wilaya ya Ilala,kinachoshirikiana na TGNP @tgnptz
https://t.co/g0kDFwBBig
Siku ya Hedhi duniani @ruffo_tz ilitembelea shule ya sekondari kerezange na kutoa taulo za kike ikiwa ni moja ya mradi wa hedhi yangu katika kuwasaidia mabinti kuendelea kubaki shuleni kipindi cha hedhi wanapokuwepo shuleni.
🌐 Website : https://t.co/g0kDFwBBig
Wanachama wa club ya SITANYAMAZA wanaohitimu kidato cha nne waliandaa maadhimisho ya siku ya hedhi 2023 katika shule ya sekondari kerezange . @ruffo_tz tunaamini kua tumetengeneza mashujaa na wapinga ukatili watakaoenda kuleta chachu ya mabadiliko kwenye jamii
Tar 31/5 tutakuwepo shule ya sec. kerezange iliyopo kivule, kuwapatia taulo za kike ili kuwasaidia kipindi cha hedhi wawapo mashuleni pasipo kukosa masomo na kuongeza ufaulu wao.
Changia taulo za kike kupitia lipa namba : MPESA 5447227 Raising Up Friendship Foundation
Mada ya leo kwenye SAUTI ZETU ni “ Vijana na ujasiriamali ”. Wewe ni kijana na umekuwa na changamoto ya upataji wa ajira ?Usikose kutazama kipindi cha SAUTI ZETU leo saa2:30 usiku kupitia TVE @tvetanzania .Marudio ni Alhamisi saa 5:30 Asubuhi na jumapili saa 11:30 jioni
Tunamponge binti yetu @rebecca_stanley_muna ambaye ni mmoja wa mabinti kutok programu zetu za NINAKIPAJI na LIFE SKILLS na hatimaye kupata tuzo ya heshima kwenye mashindano ya @missdarzone na kushinda kipengele cha heshima cha MISS DAR ZONE BEAUTY WITH PROJECT ( BWAP) 2023