KIKOSI CHA UTABIRI LEO DHIDI YA SIMBA
1.39 DIARRA D
2.24.DJUMA S
3.16. KIBWANA SH
4.3. MWAMNYETO B (C)
5.5. JOB D
6.4. BANGALA Y
7.8.AUCHO KH
8.18.SURE BOY S
9.9.MAYELE F
10.6.FEISAL S
11.17.FARID M
.
.
Wapi Nimekosea Mzee wa TIMU ๐๐
Familia Nzima ya RUFIJI TV Tunakutakia Sikukuu Njema ya Krismasi na Mwaka Mpya 2026
.
Endelea kutufuatilia kwenye kurasa zetu za mitandao yote ya Kijamii RUFIJI TV usisahau ku Subscribe Youtube Channel yetu ya RUFIJI TV.
#fahariyapwani#rufijitv#habarikanarufijitv#rufijifinest
Je Unajua Kuwa Mndengereko wa Kwanza Kusafiri Nje ya Tanzania Alitoka Ikwiriri?
Alipelekwa CHINA na Mwl. J.K Nyerere Akajifunze Maendeleo kwenye Nchi Jirani Mwaka 1977
.
Subscribe YouTube RUFIJI TV Ukutane na Historia Hiyo ๐
TAARIFA KWA SASA
Simba Sc wameondoka muda huu saa 3 usiku katika maeneo ya uwanja wa Mkapa baada ya kuzuiliwa kufanya mazoezi ya mwisho
Wasimamizi wa uwanja wamewambia Simba kuwa hawana taarifa ya kuruhusu timu yoyote kufanya mazoezi
Simba walikuwepo tangu saa 1:00 usiku.
ALLY KAMWE ANAENDELEA NA KAZI.
Baada ya Tetesi kufungiwa kwa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ally Kamwe Baada ya kuitwa na kamati ya Maadili TFF leo Jioni Ally ameendelea na kazi yake kama kawaida.
Mpaka sasa bado ni Tetesi hakuna aliyethibitisha hilo
Taarifa za awali ni kuwa kuna uwezekano mkubwa sana Golikipa Moussa Camara na Beki Che Malone Fondoh wakaikosa Derby ya Kariakoo kutokana na majeraha
Timu ya Madaktari inafanya kazi kuhakikisha wanakuwa FIT kwa ajili ya Derby
Hizi ripoti za awali hali ya Wachezaji kuelekea Derby
Kwa mujibu wa taarifa nilizonazo Shabiki wa Simba, Mohamed Khamis Mohamed maarufu kama Dokta MO nae amefungiwa miaka mitano kutojihusisha na shughuli yoyote ya mpira wa miguu. Dokta MO aliitwa kamati ya maadili ya TFF baada ya kutoa kauli mbaya kwa viongozi.
Kuelekea mchezo wa Dabi ya Kariakoo, Yanga SC dhidi ya Simba SC, mwamuzi wa mchezo huo atakuwa Ahmed Arajiga akisaidiwa na Mohamed Mkono na Kassim Mpanga. Mchezo utapigwa jumamosi saa moja na robo usiku katika dimba la Benjamin Mkapa.
Afisa Habari wa klabu ya Yanga Yupo hatarini kufungiwa Miaka miwili na Tff Baada ya Kugundulika na Hatia kupitia kauli aliyoitoa
.
Endelea kutufuatilia kwenye kurasa zetu za mitandao yote ya Kijamii RUFIJI TV
UHALALI UKO WAPI? MNAULIZWA
.
CEO ni meneja wa wachezaji
CEO kaajiriwa kama meneja wa kipindi cha Radio
CEO ni mchambuzi
CEO alisomea uwakala
Fair competition hapa iko wapi?
.
Huyo CEO ni nani?
FULL TIME
Simba SC 3๏ธโฃ-1๏ธโฃ Ahly Tripoli
โฝKIBU D
โฝATEBA
โฝBALUA
.
Goli la Pili la ATEBA lilikataliwa ni OFFSIDE lakini Kibendera ameonyesha Goli Halali
.
Fukuzaaaah Akina MABULULU Hao ๐
#rufijitv#fahariyapwani#rufijifinest
๐จOFFICIAL: Kikosi cha SIMBA SC kinachoanza dhidi ya Mashujaa FC
๐น๐ฟ Manula
๐น๐ฟ Israel
๐น๐ฟ Hussein
๐น๐ฟ Kazi
๐จ๐ฒ Che Malone
๐ธ๐ณ Babacar
๐น๐ฟ Mzamiru
๐ฒ๐ฑ Kanoute
๐ง๐ฎ Saido
๐จ๐ฎ Fred
๐น๐ฟ Kibu D
#LigiKuu