Mrembo alikuwa akuje kejani ni kama hashiki simu hahaha anadhani amehurt my feelings kumbe ni favour amenifanyia hii 146bob nilikuwa ninunue nayo unga ya chapo sasa nitashika nyama ya mia na ingredients kadhaa nipike na ugali maduong' nikule as I reflect on my miserable love life