Kikosi kimeshindwa kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar kutokana na uhaba wa viwanja uliopo mjini Bukoba.
Kutokana na ubora mdogo ambao hauendani na ukubwa wa Ligi yetu, benchi letu la ufundi limeamua kutokufanya mazoezi kwani endapo watafanya mazoezi katika uwanja huo utawaweka wachezaji katika hatari ya kupata majeraha. #NguvuMoja
Dah usimuamini mchezaji😔
kwahio tumekubaliana #seleman_mwalimu nibora kuliko #shalulile sele nibora kuliko #madevu_benzema tuliwambia shalulile ni jua la jioni haya nasikia kocha huko mazoezini kamkataa hawezi kumfikisha hata robo club bingwa aongezewe striker tuliwaambia😂
Dah usimuamini mchezaji😔
kwahio tumekubaliana @seleman_mwalimu nibora kuliko @shalulile sele nibora kuliko @madevu_benzema tuliwambia shalulile ni jua la jioni haya nasikia kocha huko mazoezini kamkataa hawezi kumfikisha hata robo club bingwa aongezewe striker tuliwaambia😂
Dah usimuamini mchezaji😔
kwahio tumekubaliana @seleman_mwalimu nibora kuliko @shalulile sele nibora kuliko @madevu_benzema tuliwambia shalulile ni jua la jioni haya nasikia kocha huko mazoezini kamkataa hawezi kumfikisha hata robo club bingwa aongezewe striker tuliwaambia😂
𝐒𝐔𝐏𝐑𝐈𝐒𝐄𝐄𝐄𝐄𝐄
Selemani Mwalimu Ni Mwananchi
Tuliwaambia anafanya mazoezi na timu ndogo, anakuja kuanza msimu na Klabu Kubwa🔰
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
@SimbaSCTanzania sema hapa ndipo nilipoona huyu kocha hatatufikisha popote baada ya kumng'ang'ania maema, ni mchezaji ambae ni mzigo kwa wenzake hakabi hana speed yaan ovyo tu🚮🚮 labda kocha ndo wakala wake ndomana anampambania🚮🚮
“Mtu mmoja anasema kikao sio halali yeye ni Mungu ?” Mwenyekiti wa Simba Sc, Murtaza Mangungu akizungumza kwenye kipindi cha Radio cha Crown Sport.
#KitengeSports