Kipindi watu wanalia kwa kulia baada ya Wananchi kuuliwa ila Msanii akafanya kibao kata ndio huyohuyo leo hii mnapush reli yake?? Kwamba nyie ndio mnaijua fedha sana au mnaona wengine hawana uhitaji kuliko ninyi au mnaona waliouawa hawakuwa wanataka hizo fedha eti?
@jackjose075@bosskitamb@godbless_lema Central Bank haitakiwi ku uza Treasury zake kwa sababu kibao Anko pia kumbuka ndio inakuoa guarantee wewe kukopa kuwa na dhahabu nyingi chini sio kigezo cha wewe kuuza reserve Yako.. ila labda serikali ikubali kwamba inakabiliana na anguko la uchumi.. la ndani na kukosa mikopo.
@bosskitamb@godbless_lema Unauza mabati ya nyumba Yako ili ukajenge fence... Je ni kipi Bora kukopea Bank nyumba ukiwa full na bati lake au kukopea ikiwa pagala (gofu).
Unapoanza kukua , unaanza kuelewa baba yako alikuwa tu mwanamume pia anayejaribu kadiri ya maarifa aliyokuwa nayo kupambana na maisha. Msamahe , kwani pia alikuwa akiishi maisha kwa mara ya kwanza.