KONGAMANO LA WASOMI.
Chadema Students Organization (CHASO)
Tarehe 02/05/2026 wasomi wa vyuo vikuu na vya kati Mkoa wa Dar es Salaam na vyuo jirani watakutana ndani ya ukumbi wa Landmark Hotel, Muda ni saa 3 asubuhi, Mgeni rasmi ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema bara Mhe. John Wegesa Heche.🔥
Muumini, jitafakari na uchukue hatua.
Ndugu yangu katika imani, kama ukifanikiwa kumuona kiongozi wako wa dini ameketi katika kundi lile, akisomewa uongo wa dhahiri na kupiga makofi mazito kwenye ripoti ya mauaji ya binadamu, JITAFAKARI.
Uadilifu ni kipimo kikuu cha uongozi. Kiongozi wa dini anapopigia makofi katika ripoti inayopotosha ukweli kuhusu vifo vya watu, anapoteza mamlaka ya kimaadili ya kuwaongoza wengine kuelekea kwenye nuru
Kiongozi wako wa dini kupiga makofi katika ripoti iliyosheheni uongo, ubatili na takwimu zisizobeba uhalisia ni ishara ya usaliti kwa maskini na wale wasio na sauti ambao dini ndiyo inapaswa kuwalinda
Kupiga makofi katika ripoti ya uongo ni ishara ya ridhaa (consent). Katika sheria za kimaadili, anayeshangilia uovu ana hatia sawa na anayetenda uovu. Wote wamesimama upande mmoja wa historia. Dhuluma
Kanuni ya kisheria na kimaadili, (Doctrine of Common Purpose) au (Moral Complicity). Unapoweka mikono yako pamoja kushangilia uongo, unakuwa umevuka mstari kutoka kuwa mtazamaji na kuwa mshiriki
Katika saikolojia ya umati na sheria, ukimya ni ishara ya kukubali, lakini makofi ni ishara ya kuidhinisha. Kiongozi anapopiga makofi, anatoa muhuri wa utakatifu (seal of approval) juu ya uongo huo. Makofi ni kuidhinisha
Katika sheria za kimaadili (moral law), anayetenda (the actor), ndiye anayetekeleza uongo. Anayesifu (the enabler/praiser), ndiye anayetengeneza mazingira ya uovu kuonekana ni halali. The accomplice liability
Hii ndiyo sababu njia ya kwenda kwa Muumba inakuwa “nyembamba” kwa sababu huwezi kubeba damu mikononi (hata kwa kushangilia) na kutarajia milango ya mbinguni ifunguke. Mungu hawezi kukusikiliza
Viongozi wa dini wanaposhindwa kusimamia ukweli (hususani katika mauaji), wanavunja mkataba wa kiimani kati yao na waumini, na Mungu. Huwezi kuombea amani wakati unapigia makofi mauaji ya raia
Ni wakati wa waumini kuamka na kutambua kuwa sala za mtu anayebariki uonevu haziwezi kuwa daraja la kuelekea kwa Mungu. Mungu hasikilizi maombi ya wale wanaodhulumu au wanaoshirikiana na madhalimu
Je, unamfuata Mungu au unamfuata binadamu aliyevaa vazi la dini? Ipo hivi, kufuata mkumbo hakutakuwa utetezi mbele ya Muumba ikiwa ulipata nafasi ya kutambua kwamba kiongozi wako anapotea
Uhai ni zawadi ya juu kabisa (sacredness of life) kutoka kwa Mungu. Tofauti na makosa mengine ya kijamii, mauaji hayawezi kurekebishwa. Kiongozi wa dini anaposhindwa kusimamia ukweli kwenye damu;
Anahalalisha utamaduni wa mauti. Anapoteza uhalali wa kukemea dhambi nyingine ndogo ndogo kama wizi au uongo wa kawaida. Anageuza nyumba ya ibada kuwa kimbilio la watawala badala la wadhulumiwa.
Ujumbe wangu unahimiza uasi mtakatifu (holy dissent) pale ambapo muumini anaamua kuacha kufuata maelekezo ya kiongozi kwa sababu maelekezo hayo yanapingana na misingi mikuu ya haki, ukweli, utu.
Ninaposema “Muumini Jitafakari na uchukue hatua” inamaanisha kuwa imani haipaswi kuwa kifungo cha akili, bali ni dira ya kutafuta ukweli, hata kama ukweli huo unakuweka mbali na kiongozi uliyemzoea.
Kuchukua hatua namaanisha kuhoji, kukemea, au hata kujitenga mbali na mifumo inayolinda dhuluma ili kulinda usafi wa imani yako. Haki huinua taifa; Bali dhambi ni fedheha kwa watu wowote. Mithali 14:34.
Imani bila matendo ya haki ni batili. Ikiwa kiongozi wako wa kiroho anashangilia uongo uliodhahiri kuhusu umwagaji wa damu za watu wasio na hatia, usalama wa roho yako haupo katika mikono salama. JITAFAKARI.
Kiongozi anayepiga makofi mbele ya uongo wa damu anajenga hekalu juu ya mchanga. Sala zake zinaweza kuwa ndefu na zenye maneno matamu, lakini bila Haki, ni kelele tupu. Kama alivyosema Desmond Tutu:
“If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor.”
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Nyalandu anasema tume ilitembelea familia zaidi ya 1323 za waliouliwa ndugu zao na waliopotea……kuwahoji!
Kama waliokufa mnasema ni 500
Kwanini tena mnasema familia mlizotembelea za waliokufa ni zaidi ya 1300+
HOW!?
Trump na Netayanhu wanabaki kuwa tumaini la mwisho la Ukristo kote ulimwenguni.
Trump na Netayanhu wanakubali na kusimama imara kwa ajili ya idadi ya Wakristo kote ulimwenguni.
Kwa sababu, wao pekee ndio wanaowafundisha magaidi kwa lugha wanayoielewa.
Magaidi kwa maneno hawaelewi
Msikilizeni wakili msomi Dr Nshala!
Hii haikuwa injunction ya kawaida bali ilikuwa na lengo /nia ovu kudhoofisha chama!
Siku 300 + magari yamesimama tu hadi yameanza kupata kutu!
Roho za ajabu sana hizi za wazanzibari 🚮
Ila #TutaelewanaTu
Kwa sasa tunasema #FreeTunduLissu tukimaliza tuweke nchi sawa maana nchi imewashinda hawa wadhalimu wauaji!
#SamiaMustGo
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Rugemeleza Nshala amesema chama hicho sasa kiko huru kuendelea na shughuli zake baada ya kuondolewa kwa amri ya zuio iliyokuwa ikikikabili.
Dk Nshala ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Aprili 15, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama hicho yaliyopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam, akieleza namna alivyopokea taarifa ya uamuzi huo akiwa bado ofisini.
Amefafanua kuwa amri ya zuio iliyokuwa imetolewa awali na Jaji Hamidu Mwanga ilitangazwa kuwa batili, baada ya kubainika kuwa kulikuwa na dosari za kisheria katika mwenendo wa kesi hiyo.
#mwananchiupdates
#tunawezeshataifa
Mtu yupo Tandahimba anabonyeza kioo kilichopo mkononi mwake anaongea na mtu wa New York, anaona watu wanapandikiza viungo na wanaishi, watu wanatumia maji kuzalisha umeme unaowasha mitambo na kuendesha magari, halafu bado anabisha kusikia watu wanauzunguka Mwezi. Hii nchi daah 🙌
Hoteli ya Marehemu Lukuvi Dodoma. Imefungiliwa mwezi huu.
Leo ameiacha inawezekana hakulala humo.
Tunahangaika na dhulma na ufisadi; kuumiza wengine ili kubaki madarakani kwa njia haramu za kumwaga damu na kutesa.
Lakini ukweli utabaki kwamba; tulikuja utupu na utupu tutarudi.