@mshambuliaji Mna roho mbaya wahudumu wa benki na polisi yaani mhudumu unashindwa kumpa pesa ambayo ameiita ya kula walau 5k au 10k eti ana nia mbaya alitoa kitu gani kinachoashiria hiyo nia mbaya nnachojua benki kuna askari pia kuna wale Securities ila sawa Mungu yupo tu