"Watu waliokuzunguka peke yake wanaweza kuwa CV tosha sana. Kama hujazungukwa na watu wanaokuinua, wewe fanya jitihada uwazungukie wao kisha uzunguke nao, ili katika mzunguko wao nawe uwepo." ~Togolani Mavura.
"Watu hupata wepesi zaidi kukusemea au kukulengesha kwenye fursa pale unapowapa sababu ya kuamini kwamba hutaenda kuangusha imani waliyowekeza kwako, na heshima waliyowekeza kule kwa wale waliokulengesha." ~Togolani Mavura.
"Urahisi wa kushikwa mkono na kupata msaada wa mtu katika mitandao ya kijamii, unategemea: 1. Uhalisi wa jina na utambulisho wako; 2. Mtaji wa Marafiki uliojijengea; 3. Aina ya Maudhui yako. Kama ilivyo katika maisha nje ya mtandao, humu nako unatarajiwa uaminike na udhaminike."
"Huyo anayekuumiza wewe akili, anaye anayemuumiza roho. Anayekuumiza roho, ana anayemuumiza akili. Yaani alimradi maisha haya sisi sote tunaimba, tofauti yetu ni kwenye kupokezana tu, wengine kiitikio (chorus), wengine ubeti,wengine sauti ya kwanza,wengine ya pili, tatu na nne."
Chris Rock says Meghan Markle marrying into the royal family and then complaining about racism is like marrying into the Budweiser family and being shocked that they drink a lot 💀
Chris says Meghan knew she was marrying into a family with a long history of racism, so he finds it ironic that she was surprised by it.
He then addresses the controversy about the royal family asking how dark her baby would be, arguing that it’s just typical in-law behaviour.
He says even Black families want to know how dark the baby will be, joking that everyone wants to know if they’re getting a Steph Curry baby or a Draymond Green baby. 😭
"Mtu hutoa kwa kadri ya uwezo wake, ama kwa kadri ya maombi yako au kwa kadri ya moyo wake. Kujua unayemuomba anaangukia katika kundi lipi kati ya haya matatu ni muhimu sana katika kuomba na kufanikiwa kwa ombi lako. Kuomba pia ni sanaa na kunahitaji, udadisi na maarifa."
"Buibui hutembea kwa kasi na vizuri zaidi katika utandu wake (njia yake) kuliko nje ya utandu wake. Binadamu hufanikiwa kwa wepesi na vizuri zaidi katika wito wake kuliko nje ya wito wake. Mtihani wetu ni kuutambua wito wako na kuwa tayari kuuitikia." ~Togolani Mavura.
"Ukiitwa kwenye usaili, kupata au kutopata kazi kuko nje ya uwezo wako.Kilicho ndani ya uwezo wako ni kuitumia vizuri fursa kuonyesha kufaa kwako.Itumie fursa hiyo vizuri sana na kuwapa wakati mgumu ili ikibidi wakunyime, wawiwe na wajibu wa kukufikiria kwa fursa ingine mbeleni."
"Wakati mwingine msimu wa neema unaweza usiufikie au ukachelewa sana ukakukuta moyo wako umejeruhiwa kiasi cha kutoifaidi neema yako. Usisimamishe kuishi ukisubiri yajayo ambayo huna miadi nayo. Ishi wakati ukisubiri na subiri ukiwa unaishi." ~Togolani Mavura.
"Mwenyezi Mungu kamuumba kila mtu, kila muonekano, kila umbile na kila tabia na watu wa aina yake. Tatizo ni pale tunapolazimisha kuvutia na kupendwa na wale wasio wa aina yetu." ~Togolani Mavura.
"Katika kila aliyefanikiwa kuna mbeleko iliyombeba na kumvusha mahali au wakati ambao uliamua hatma ya kufanikiwa kwake. Tofauti ipo tu kati ya wale wanyenyekevu wanaozitambua na kuzienzi mbeleko zao hadharani na wale wajivuni wasiofanya hivyo. Kila penye mafanikio pana mbeleko!"
مورينهو حسم معركة الوسط 🔥
التزام وانضباط كبير من تشاوميني، سيلفا، غولر، بيلنغهام
نكشف سر التحول الكبير في عنصرين
1
وجود سيلفا وغولر وهويسن في التحكم بالكرة صنع الفارق.
الفريق صار بعد قطع الكورة يبني هجمة منظمة بتمريرات متتالية أو يستحوذ تماماً،
عكس المباريات الماضية اللي كان فيها قطع الكورة يتبعها "تشتيت عشوائي" يرجعها للخصم ويفرض ضغط بدني مرهق علينا من جديد
2
السر ما كان بس بقطع الكرة، بل في فخ "القرا�� الثاني"
الفريق كان يسمح بالتمريرة الأولى، بس بمجرد ما توصل، يطبّق ضغط ثنائي وثلاثي فوري يمنع الخصم من اتخاذ قراره الثاني أو صناعة أي خطورة
🔹 تشاوميني نجح تماماً في شلل حركة فيرمين لوبيز ومنع وصول الكرة إليه
🔹 أردا غولر قراءة للعب بـ IQ كروي عالٍ ودعم دفاعي لافت
شخصية تكتيكية جديدة
"Watu wengine hutupa sababu ya kuzungumza, wengine hututafakarisha na wengine hutugusa. Wale wa kwanza waishie midomoni mwetu, wale wa pili waishie akilini mwetu na wale wa tatu wapate nafasi mioyoni mwetu. Tatizo linaanzia tunapojichanganya kuwapanga kwenye nafasi zinazowafaa."
الونسو الوحيد شفته يلعب بضغط عالي
ضد برسا وللمعلومة هذي انسب طريقة
لانه لاعبوا برسا ينضغطوا تزيد اخطائهم
وشفنا ذا شيء ضد باريس ولكن هل
يعقل مورينهو يطبق ضغط العالي ؟