Tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kuuawa kwa Katibu wa CHADEMA Jimbo la Manyoni Mashariki, Bw. Alex Jonas usiku wa kuamkia leo.Tunaliomba Jeshi la Polisi na mamlaka zingine za dola kuchukua hatua za makusudi kuchunguza, kuwasaka, na kuwakamata waliohusika na mauaji haya