Ummu Habibah bint Abi Sufyan (RA) amesema:
“Nilimsikia Mtume ﷺ akisema:
Mwenye kuswali kwa siku na usiku rakaa kumi na mbili (za Sunnah), kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, basi Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba Peponi.”
— (Sahih Muslim, Hadith 728)
Imepokewa na Sahl bin Sa’d (RA):
Mtume ﷺ akasema:
“Mimi na mlezi wa yatima tutakuwa peponi kama hivi.”
(Kisha akaashiria kwa kidole chake cha shahada na cha kati, akavivuta karibu.)
— (Sahih al-Bukhari, Hadith No. 5304)
Abu Hurayrah (RA) amesema:
“Rafiki yangu (Mtume ﷺ) alinishauri mambo matatu: kufunga siku tatu kila mwezi, kuswali rakaa mbili za Dhuha, na kuswali Witr kabla ya kulala.”
— (Sahih al-Bukhari 1178, Sahih Muslim 721)
Mtume ﷺ amesema:
“Kila kiungo cha mwili wa kila mmoja wenu kina wajibu wa kutoa sadaka kila siku. Kila tasbih ni sadaka, kila tahmid ni sadaka, kila takbir ni sadaka, na kila tahlil ni sadaka; na inatosha rakaa mbili za Dhuha.”
— (Sahih Muslim 720)
Jifunze kutumia Zoom/Google meet
Jifunze kutumia Wix
Jifunze kutumia Figma
Jifunze kutumia Discord
Jifunze kutumia Linkedin
Jifunze kutumia Webflow
Jifunze kutumia Mailchimp
Karibuni sana nafaka,tunauza jumla na reja reja.
Mchele bei :
2450,2500,2600,2650,2700,2800,3000
Maharage bei :
3000,3200,3500
Tupo River Side ,Ubungo.0717581113
Karibuni kwa huduma nzuri
Nk:Dears nunueni hata nihame uswazi sasa 😂😂