Jinsi ya Kuactivate Windows 10 kwa Kutumia (CMD) 100% Working
Connect Computer yako na Internet kisha Search cmd > Enter
1: 1st Step
🟢
slmgr /ipk W269N-WFGWX-YVC9B-4J6C9-T83GX
2: 2nd Step 🟢
slmgr /www.edx.org
3. 3rd Step
slmgr /ato
4: Last Step 🟢
slmgr /dlv
Wengi wamenasa kwenye ajira au kazi wanazozichukia sababu ikiwa ni majukumu ya kifamilia, anawaza akiacha au akiondoka watoto watakula nini, watavaa nini na wataishi wapi..?!
Kijana uliye single fanya mapema kabla ya kua na familia, jaribu kufanya vitu vingi ukiwa single, fanya makosa kadiri uwezavyo, jifunze kadiri uwezavyo. Saa inakuja ambapo zaidi ya 50% ya maamuzi utakayofanya yataihusisha familia moja kwa moja. Familia itakuja na majukumu na hofu ya kujaribu vitu vipya. Hautakua na uhuru ulionao wa kubashiri na kui introduce kitu kipya ilihali nyumbani hujaacha mboga.
Mwisho kijana uliye single & free usisahau ku-furahia maisha as much as you can, tunaishi mara moja.
Jinsi ya Kuikamata “LOOP”
↳ Kabla Haijafika Mbali...
Rafiki Mpendwa,
Barua Hii Ni Kwa Ajili Yako.
Hasa WEWE ambaye kuna TABIA
Fulani Ilianza Kama Jambo Dogo Tu.
▻ Labda ilikuwa utani.
▻ Labda ulisema, “Nafanya mara moja tu.”
Lakini leo…
Umeanza kujikuta unaifanya
↳ tena na tena.
Unaweza Kuniuliza,
“Francis; LOOP ni kitu gani?”
Ngoja Nikueleze,
Kwa Lugha Rahisi Kabisa.
IMAGINE:
Unafanya jambo mara moja.
Unalirudia.
↳ Unalirudia tena.
Baada ya Muda,
Ubongo wako unaanza kuliona,
↳ kama jambo la kawaida.
Mwisho wake?
Unajikuta:
Unalifanya bila
hata kufikiria.
Na hii...
Ndiyo "Repetition Loop"
IPO HIVI...
Tabia Nyingi Hazianzi,
Kama Matatizo Makubwa.
Zinaanza Kama,
Vitendo Vidogo Sana.
• Unavirudia Leo.
• Unavirudia Kesho.
Mara Siku Moja Unajiuliza,
Dah!
“Mbona Siwezi Kuacha?”
James Clear,
Ndani ya Kitabu chake cha Atomic Habits,
...anaeleza kwamba...
"Tabia Hujengwa Kupitia Marudio
Madogo Yanayofanyika Kwa Muda".
Kwa hiyo...
Tatizo si kile ulichofanya mara moja.
/
Tatizo kile unachoendelea kurudia.
Lakini, Rafiki Yangu…
Hii ndiyo habari nzuri kwako:
Unaweza kuikamata,
Repetitive LOOP Yako,
Kabla haijakugeukia na kuanza,
↳ kukutafuna hata kama huitaki.
Unawezaje?
1. Tambua Marudio
Jiulize:
“Ni kitu gani nimeanza kukifanya mara kwa mara?”
Usikipuuze kwa sababu kinaonekana ni kidogo.
2. Tafuta Kinacho-kianzisha.
Jiulize:
“Ni wakati gani huwa natamani kukifanya?”
▻ Ni ukiwa na stress?
▻ Ukiwa bored?
▻ Ukiwa peke yako?
Au ...
Kuna mazingira fulani
yanakufanya urudie?
3. Badilisha Hatua Moja Tu!
Usijaribu kuzima Loop yako
kwa Siku mara moja...
Ukiona Kinacho-trigger…
Simama. Pumua.
Ondoka hapo ulipo.
Fanya kitu kingine.
Hata kama ni kwa dakika chache.
Kwa sababu...
Wakati mwingine,
Unachohitaji si nguvu kubwa.
Unahitaji tu kuvunja mzunguko.
RAFIKI YANGU, PLEASE...
Usisubiri tendo dogo likue na
↳ kuwa TABIA ndipo uanze kulipigana.
Tendo likishakuwa tabia,
kuachana nalo huwa ndio Balaa zaidi.
Ukikamata marudio mapema…
Unaizuia tabia isije ikaanza,
Kuyakamata na Kuyatafuna maisha yako.
Na Kama Waswahili Wanavyosema:
“Tabia Ni Kama Ngozi.”
Nakuacha na hii.
• Usiache Loop ikukue.
• Igundue.
• Ikatishe.
• Chagua unachotaka kurudia.
...
By - The - Way.
Tukutane Whatsapp Channel,
Link naiweka Hapo Chini .
...
FRANCIS | ABRACADABRA
Ukweli ambao watu wengi hawapendi kusikia:
Huwezi kuwa mtu wa maana kwa kila mtu.
Siku ukikubali hilo, utaacha kujieleza kupita kiasi, kuomba approval, na kujaribu kulazimisha watu wakupende.
We ishi, wanaokuelewa watakuelewa tu💯🫵
Usimwambie Kila mtu Mambo Unayotaka Kuyafanya.
Derek Sivers, mwandishi na mjasiriamali, aliwahi kuandika kuhusu jambo ambalo watu wengi hulipuuzia...
kwamba wakati mwingine kutangaza malengo yako mapema kunaweza kukupa hisia kwamba tayari umefanya kitu, wakati bado hujaanza kukifanya kwa vitendo.
Hii ndiyo sababu si kila wazo linalokuja kichwani linahitaji kusikika kwa watu.
Una wazo la biashara? Lifanye kwanza.
Una mpango wa kuanza kitu kipya? Anza kwanza.
Unataka kujifunza skill mpya? Jifunze kwanza.
Unataka kufanya mabadiliko makubwa kwenye maisha yako? Fanya mabadiliko hayo kwanza, kisha waache watu waone matokeo.
Sio kwamba kila mtu anayekusikiliza ana nia mbaya. Lakini unapo waambia watu wengi mipango yako, unajipa nafasi ya kupata maoni mengi, mashaka mengi na wakati mwingine presha ambayo haukuiomba.
Kuna vitu vinahitaji ushauri. Lakini kuna vitu vinahitaji utekelezaji.
Usitangaze kila hatua unayopanga kuichukua. Wakati mwingine kimya chako ni sehemu ya strategy yako.
Fanya kazi kwanza, tengeneza kitu chako kikamilike. Halafu matokeo ndiyo yaongee kwa niaba yako.
Unataka kuanzisha biashara? Nyamaza, anza.
Unataka kufanya kitu kikubwa? Nyamaza, fanya.
Unataka kubadilisha maisha yako? Nyamaza, badilika.
Kwa sababu watu hawawezi kupinga kwa nguvu kitu ambacho bado hawakijui unakitengeneza.
Usipoteze nguvu nyingi kuelezea kile unachotaka kukifanya. Tumia nguvu hizo kukifanya kwanza.
Wakati mwingine watu hawahitaji kujua mipango yako. Wanahitaji kuona matokeo yako.
Fuck being shy. Fuck being an introvert. Believe me or not, Strangers will make you rich. Start networking. Make small talk everywhere you go. You never know what kind of connections you'll create. Closed mouths don't get fed, bro.
Ukitoa sex wanawake wengi tulionao kwenye mahusiano hawana kitu cha kutupa wanaume.
Wenyewe watakataa tena kwa herufi kubwa na hua ni wakali kweli kwenye hili lakini ukweli lazima usemwe:
Wanawake wengi hawana cha kuwapa wanaume zao zaidi ya miili yao tena wengine wameifanya kama vile ni miradi, utasikia kauli zao “Yani mimi niwe nalala na mwanaume bure tu hanipi hata mia siwezi, atajijua na hamu zake”
Hizi ni kauli za wafanyabiashara wa miili (MALAYA).
Bro, hivi ukitoa hayo majina unayoitwa kila siku mara hubby, my life, my only and one kuna kitu gani cha maana ambacho huyo mwanamke amekupa unaweza kuja kututambishia ata sisi wanaume wenzako kijiweni. Kua tu muwazi haupo pekee yako kwenye hili.
Bro!
Ulishajiahidi utabadilika.
Ulishajiahidi utajenga maisha unayoyataka.
Ulishajiahidi utakuwa mtu mkubwa kuliko ulivyo leo.
Sasa timiza ahadi hiyo.
1. Hakuna uvivu
2. Hakuna tena visingizio.
3. Hakuna tena nitaanza kesho.
Get it done bro.
CHANGE YOUR MINDSET!!
Uganda imejenga sanamu ya Yoni Netanyahu, kaka yake Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu. Yoni aliongoza operesheni ya kuwaokoa Waisrael 100+ baada ya ndege yao kutekwa na kupelekwa Uganda. Ni askari pekee wa Israel aliyeuawa katika operesheni hiyo ambayo haikuzidi dakika 90
Kuwa kwenye mahusiano na mwanaume mwenye malengo makubwa na anayejituma si jambo rahisi.
It’s a blessing—but also a full-time responsibility. Inahitaji uvumilivu, uelewa na akili ya ziada.
Thread:👇
Maisha Yangu Yalibadilika Sana Siku Nilipoielewa Hii Siri…
Kama bado unajitafuta kwenye haya maisha kaa usome hii mpaka mwisho.
Hakuna anayekufundisha haya shuleni.
Na ukielewa haya mapema utajiokoa miaka mingi ya kupoteza muda.
Twende hatua kwa hatua…
A Thread:🧵
Kipi kinakufanya kila siku upambane?
Usiende tu kutafuta pesa bila kuwa na mpango wa namna ya kuitumia.
Hakikisha kila shilingi unayotafuta unajua itafanya nini kabla hujaipata.
Money without a plan is money waiting to be wasted.
Chukua huu mwongozo wa kina wa namna ya kuidhibiti pesa, akili yako na mazingira yanayokuzunguka ili uweze kufikia malengo yako.
Thread🧵
Lock In Ndani ya Miezi 6:
• Mrudie Mungu
• Fanya mazoezi
• Jenga nidhamu
• Kula kwa afya
• No porn & punyeto
• No betting
• Epuka soda na energy
• Ishi kwa malengo yako
• Jifunze ujuzi mpya
• Jifunze sanaa ya ushawishi
Jinsi Ya Kujibadilisha Kuwa Bora: 👇🏿
A THREAD🧵
Ungekuwa huogopi kushindwa, ungekuwa huogopi watu watakavyosema ukikosea, ungekuwa hulindi sura fulani ya ‘mafanikio’ usiyokuwanayo, ungekuwa huogopi kufanya kazi zisizoendana na jina lako kubwa, zisizoendana na ‘brand’, elimu yako isiyotatua chochote, na heshima kubwa usiyonayo unadhani ungeshafanya nini tangu mwaka uanze? Juni hii hapa.
Ukweli ni kwamba watu wala hawakufikirii kivile kama unavyodhania. Ungejua kila mtu anateseka na mambo yake kimya kimya wala usingejitwisha mzigo wa kufikiria namna watu wanavyokufikiria. Ungejua watu wala hawakupi umuhimu mpaka utakapofanikiwa, ungepambana kufanya hicho unachoogopa kufanya. Tunaelekea nusu mwaka. Mwaka ukiisha utajuta zaidi kwa kile ulichoogopa na kushindwa kukifanya kuliko kile ulichokifanya na kukosea.