@PembaYouthVoice kwa kushirikiana na taasisi ya kuzuia rushwa na uhujumu uchumi zanzibar (zaeca)wanaendelea na kutoa elimu ya mazingira pamoja na rushwa na uhujumu uchumi shehia za gando na junguni.
Kamanda kutoka dawati la jinsia Konde Khaji Abas Ali akiongea na hadhira kuhusu mwenendo ulivyo wa kesi za udhalilishaji na namna ya kuchukua hatua mara zinapotokea.
#16DaysofActivisim#UNITE#NoExcuse
Mkuu wa wilaya ya Micheweni Bi Mgeni Khatib Yahya akiongea na hadhira kwenye kilele cha siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto iliyofanyika katika shehia ya Tumbe Mashariki, Pemba.
#16DaysofActivisim#unite#noexcuse
Yesterday @Actionaidtz hosted a closure event of #16DaysofActivisim in Pemba LRP. Youth, children, and community leaders attended the event with a theme; "WEKEZA KUZUIA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO"
#EndViolence#Unite#NoExcuse
Miongoni mwa sababu zinazopelekea kuongezeka kwa unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto baadhi ya wanajamii kuona muhali na uwoga wa kulaumiwa na upande wa pili @saidMus65585404 myenyekiti @PembaYouthVoice#16DaysOfActivism2023
Katika kuadhimisha kilele cha
#16daysofActivisim@PembaYouthVoice
Wakishirikiana na jeshi la Polisi wameandaa kongamano la kutoa elimu kwa jamii katika kijiji cha tumbe wilaya ya micheweni Pemba
Kukosekana kwa mshikamano baina ya wazazi ni miongoni mwa sababu zinazopelekea matokeo ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia @ sheha shehia ya micheweni
#16DaysOfActivism
Ili kuhakikisha tunaondoa na tunazuia ukatili dhidi ya wanawake na watoto lazima tuwe tayari kutoa ushahidi na tuondoe rushwa muhali katika jamii zetu
#16DaysOfActivism
Ukosekano wa mashirikiano baina ya wazazi ni chanzo kikubwa kinachopelekea unyanyasaji wa kijinsia na ukatili wa wanawake na watoto
#16DaysOfActivism2023
Miongoni mwa sababu zinazochangia kuendelea kwa masuala ya ukatili ni kuporomoka kwa maadili pamoja na matumizi mabaya ya teknolojia
#16DaysOfActivism2023
Mwenyekiti wa @PembaYouthVoice akifunguwa mjadala ambao umeshirikisha wadau wa kupinga ukatili na unyanyasaji wa kijinsia wilaya ya micheweni
#16DaysOfActivism2023
Tuungane na tuzidishe juhudi katika kupiga ukatili dhidi ya wanawake na watoto @PembaVoice wakiwa katika harakati za kuelimisha jamii kupitia vijana wa miduara katika kampeni ya
#16DaysOfActivism2023