@HKigwangalla Tamisemi iko chini ya Ofisi ya Rais anayehusika na Tamisemi ni Rais na sio Waziri Mkuu. Muundo wa Wizara uko at the pleasure of the president! Marehemu Magufuli alitaka uholela na DED kuwa na nguvu wasihojiwe na mtu hata CAG hayo ndiyo madhara long term ya utawala wa awamu yake!
@adamlutta Kwa Bukoba wanazingua sana ATM zao zinaweza kumaliza hata siku 2 hamna hata 10,000 jumatatu watu tumeenda ATM zote hamna kitu mi naona bank nzuri ni NBC
@HecheJohn Sio kweli kama hamjui hesabu ni mapungufu yenu wala msiyalete kwenye public, mshahara umeongezwa 23% kwa mtu anayepata 1,000,000 ameongezewa 230,000 msipotoshe jamii kwa kosa la kuikimbia hesa just make a calculation then reply
@MwitaKeraryo5@Hakingowi Wapigaji wamerudi rasmi, eti alipigana kufa na kupona kwani alipigana kuliko Nyerere? Mbona alipostaafu alistaafu jumla! Hawa jamaa ni balaa acha waitafune nchi ila ipo siku itawatafuna pia
@AishaMosile Kwenye takwimu ya sasa waislamu ndo wanaongoza kwa kula nyama ya nguruwe, wao ukisema nguruwe hawali ila ukisema kitimoto aaa wanakula kwahiyo hakuna shida mwisho wa siku iyo nyama inanunulika na kuisha
@kigogo2014 Kigogo ulipigana sana wakati uko nje ya system this time umerudishwa bado una upuuzi? Na mbaya zaidi ndo mnapeleka ma file ambayo hayaeleweki kwa rais, makamu wa rais amewaambia lakini hamuelewi kabisa, nyamamfu ww
@mauzorro86 Wengi hawakushine kipindi hicho sijui sababu ya utandawazi? Au mziki haukuwa na thamani kama leo? Maana ukiangalia miziki yao ilikuwa mizuri sana mfano TID ,SAIDA KAROLI, BANANA ZORO nk