@Labella_Mafia95 Kwani maana halisi ya kulinda amani sio kuwachapa na kuwatokomeza wanaochafua amani? UN ni kitovu cha yote haya. Hata kama PK anahusika ni kama mbwa tu wa hao hao UN.
Unapanga maisha yako na kazi zako Watanzania wenzio wamekaa sehemu wanapanga namna ya kukuua na kuwaacha wanao bila baba, wao wakirudi majumbani kwao wanapokewa na familia kwamba wametoka kazini, kumbe wametoka kuua baba wa familia nyingine. SO SAD ๐ญ REST EASY MZEE ALI KIBAO
Medy uliniambia nisiogope, na kwamba kila mtu ataonja mauti, lakini sikujua mwisho wako utakuwa wa namna hii.!
Fikiria mdogo wako uliyekuwa naye na kuishi naye miaka 66 leo ameshindwa Kukutambua kwa kukutizama uso wako.
Kama siyo ile alama yako ya mguuni huenda familia yako,ndugu zako na sisi marafiki zako tungekuacha ukazikwe na Jiji.
Maharamia wamekuua kweli, wamekuumiza sana, Wamekushambulia sana, Wameharibu uso wako wote ambao mara zote ulijaa tabasamu.
Hawakuridhika wakakumwagia tindikali ili Dunia isikutambue tena..!
Sasa roho zao zimefurahi nafsi zao zimeridhika kukuona ukiwa mwili mtupu usio na pumzi,Hujawahi kuwatendea baya lolote,kosa lako ni kuwa mwanachama wa CHADEMA.
Tutakutana tena Mbinguni Kamanda.
Ila kuna saa kazini kunakuwa na kazi mpaka unataka kutafuta kazi nyingine ambayo haina kazi kama palivyokuwa kazini. Ndo ujiulize sasa kama watu wanapenda sana kazi kwanini wanatafuta kazi ambayo haina kazi sana ila kipato kikubwa kuliko kazi za kazi kazi.