Ila mnaoomsifia msifieni kwa sifa stahiki, pia msidhihaki hao Magwiji waliomtangulia
Nikki Mbishi is probably the most skilled ever, ila bado ana pay homage kwa Prof Jay
Mex is probably the most lethal currently, ila bado anam-respect Wakazi
Ila nyie mnataka D awe kisiwa ๐คท๐พโโ๏ธ
Mungu ni wa haki, kazi ya viongozi wa dini inapaswa kuwa hii kusema maovu bila haya, kukosoa na kupongeza inapostahili, kukemea na kuchukua hatua inapobidi.
Asante father umefanya kazi ya utume.