Kijiji cha Ololosokwan kimepokea barua ikidai kitoe hati miliki ya ardhi ya kijiji ili umiliki uweze kuhamishiwa kwa "rais" haramu! Barua hiyo haisemi sababu yoyote. Wiki iliyopita wanakijiji walifanya mkutano ili kuweka utaratibu wa dharura. Ni muhimu kuchukua hatua kali!
@SuluhuSamia want to alter the village boundaries on ground of error at the time of village establishment.
Ololosokwan Village was established when Samia was 16 years old. She now want to alter boundaries on pretext, there was frauds/error in its establishment in 1970’s.
@GermanyTanzania A huge amount contributing to the extinction of Maasai culture. Your funds despite developmental nationally but to pastoralism a chocking grip that will displace us.
@Jambotv_ Conservation without regards to our wellbeing is not conservation. What Malebo car s is what he gets and not a sustainable future for the communities concerned.
1. Hivi mkazi wa Ngorongoro anatendaje kosa kuchunga mifugo ngorongoro?
2. Hivi hifadhi ya Ngorongoro iliyopo Wilaya ya Karatu ndio ipi?
Hivi Mahakama @judiciarytz haina wajibu wa kutopokea mashtaka ya makosa ambayo hayapo kisheria?
Ofisi ya DPP kwa nini mnakubali @visitngorongoro waendelee kuwatesa watu wetu bila sababu?
@SuluhuSamia hii ndio kumaliza tatizo Ngorongoro?
Wakili Nicole Mbowe anashikiliwa Polisi Oysterbay yuko kwa RCO, amethibitisha Wakili @JohnMallya.
Kauli ya Afande Muliro kwamba hawamshikilii ni ya kilaghai na kizushi.
Kama mlikusudia kumpoteza Nicole badilisheni mawazo. #ZuiaUtekaji
I've just signed a petition urging the Tanzanian government stop auctioning Maasai land to trophy hunters and carbon traders. The Maasai are being forcibly evicted from their ancestral homes under the false promise of conservation. Sign here 👉 https://t.co/vCP6o4VayS
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC) kimetoa tamko juu ya usalama wa mfanyakazi wake ambaye ni Wakili Joseph Ole Shangai kikisema kuwa yuko hatarini kutokana na vitisho anavyopokea.
Mkurugenzi wa kituo hicho Dr. Anna Aloys Henga amesema Wakili Oleshangai amekuwa akifuatiliwa kwa muda mrefu na kupokea vitisho tangu mwaka 2023 ikiwemo kupigiwa simu na watu wanaomtafuta huku wengine wakijitambulisha kuwa ni askari wa Jeshi la Polisi.
"Hali ya usalama wa Wakili Joseph Oleshangay imekuwa hatarini kwa muda mrefu tangu 2023 na amekuwa akifuatiliwa mara kwa mara ikiwemo kupigiwa simu na watu wanaomtafuta huku wengine wakijitambulisha kuwa ni askari wa Jeshi la Polisi, mchana wa tarehe 14 mwezi huu (Machi 14.2024) Joseph alipata taarifa ya kufuatiliwa na watu waliosadikika kuwa ni vyombo vya Dola hivyo kulazimika kuchukua tahadhari juu ya usalama wake, usiku wa kuamkia tarehe 15/03/2024 watu wasiokuwa na vitambulisho waliojitambulisha kama askari Polisi walifika nyumbani kwake na kumkuta mke wake, na kumuulizia Joseph bila kutoa sababu za kumtafuta" Amesema Dkt. Henga
"Mbali na kumkosa Joseph watu hao walipiga kambi eneo la nyumbani kwake kwa siku nne (4) toka tarehe 15 Machi 2024 mpaka tarehe 18 Machi 2024, mpaka sasa sio Joseph ama ndugu zake wa karibu wanaofahamu kama anafuatiliwa na nani na kwa sababu gani, ikumbukwe siku chache kabla ya Joseph kuanza kufuatuliwa ulisambaa ujumbe kwenye mitandao ya kijamii kama tahadhari kwa serikali kumshughulikia na kumchukulia hatua Joseph kama mtu hatari, katika ujumbe huo wa vitisho ulitaja Legal and Human Rights Centre (LHRC), The Pastoralists Indigenous Non-Governmental Organization's Forum (PINGO's Forum) na Pastoral Women's Council (PWC), na Susanna Nordlund (Mwanaharakati) kama taasisi na watu wanaomtia nguvu Joseph, tulishangazwa sana na ujumbe huu japo hatukuupuuza" Amesema Dkt. Henga
Wakili Joseph Oleshangai kwa asili ni Mmasai aliyezaliwa na kukulia kata ya Endulen, wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha ambaye kutokana na taaluma yake na nafasi yake ya kazi amekuwa akitoa msaada wa kisheria na ushauri kwa jamii yake ya kimasai hasa wanaoishi ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.
@TaasaLodge Is the WMA you operate in within the 60 acres you robbed? Ololosokwan will come after you soon you can't just go scot-free and still advertise being within a WMA. You within Ololosokwan's land certificate watch your back