Soka aliandika ujumbe kwa watanzania kuwa @tanpol walikuwa na mpango wa kumvamia kwake na kumakamata.baada ya siku tano Soka alichukuliwa na polisi.Ilitokea
Mdude Aliandika ujumbe kwamba Polisi Mbeya wanamsaka na pahali anapoishi.Baada ya siku moja,Mdude alivamiwa.
Hakuna usalama
Naskia @NdumbaroDamas yuko arrusha kwenye Mama Samia Legal Aid campaign. Ninafikiria sana kumfikia kabla ya jumamosi na kumpa malalamiko ya Km2 1500 loliondo. Nataka kuverify how legit Is this Samia legal Aid ?.
Anyone who wish to go with me ?.
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
Karatasi za kupigia kura zimechomwa leo huko Ololosokwan, kabla ya upigaji kura wowote, ili kuondoa mkanganyiko na kuanza upya -lakini ni watu wabaya wa "CCM/OBC" wanaozichoma. Wana mpango gani? Na OBC imetoa petroli kwa pikipiki za kampeni ya mgombea mmoja.
Nani anaweza kueleza?
BARUA YA WAZI KWA MHE. MBOWE
Mhe. @freemanmbowetz , ninaamini upo na uzima tele. Nina maswali machache kama hautojali.
Mhe. @freemanmbowetz , Rais @SuluhuSamia alipopuuzia kile ulichokiita โmaridhiano,โ ulitoa tamko.
Alipodharau ya matembezi ya amani uliyoyafanya, ulienda Mtwara ukatoa tamko uliloliita Azimio la Mtwara.
Rais @SuluhuSamia alipokamata viongozi wote wa juu wa CHADEMA na wanachama zaidi ya 500 juzi kule Mbeya na kumshambulia Mhe. Sugu, ulifanya press na kutoa tamko.
Vijana wakina Kombo, Soka, na wengineo walipotekwa na kufichwa mpaka leo, umeendelea kutoa matamko.
Hata juzi walipomteka na kumuua Mzee Kibao, ulitoa tena tamko.
Swali langu kwako Mhe. @freemanmbowetz , ni lini utakubali kwamba matamko haya hayana nguvu yoyote ya kukomesha udhalimu unaoendelea kufanywa na watawala?
Ni lini utatambua kwamba serikali hii ilishavuka level za kutishwa na matamko?
Ni lini utakuwa tayari kutumia nafasi yako kama mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani lakini pia kama mtu mwenye ushawishi mkubwa kumobilize umma na kuongoza national protest ili kushinikiza serikali kukomesha mambo haya?
Hauoni kwamba kadiri unavyochelewa kuchukua hatua ndivyo watu wanavyozidi kuumia na kupoteza maisha?
Hauoni kwamba una wajibu wa kufanya tofauti na unavyofanya sasa?
Wako
Onesmo Mushi
Wananchi wa Ngorongoro kwa Lissu. Hii ni tofauti na michango direct.
Lissu ni mpambanaji wetu. Tunatamani Lissu awe na mikutano kila siku na atembee kila kona ya nchi hii kuwasemea wa Tanzania.
It is with great sadness that I learned of the passing of Sheikh Tahnoon bin Mohammed Al Nahyan, Abu Dhabi Rulerโs Representative in the Eastern Region. My deepest condolences to the Emirati Royal Family, the government and the people of the Emirate of Abu Dhabi and the entire United Arab Emirates. Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.
For the recent information, it is reported that Wakili Yonas Masiaya was detained by police yesterday in Arusha. He spent the whole night in Arusha central police without bail. Ni Moja ya mawakili kwenye kesi za Loliondo @MariaSTsehai@SusannaN2@Mittaloak
Statement by Maasai traditional leaders from nine districts in Tanzania, against ongoing and planned land theft, the government's war against the Maasai. https://t.co/uIkdBzuiUk
Bei sukari, karanga, Michele, mahindi, Mafuta huku kusadikika bado haijapanda baada ya drone za Iran jana usiku?
Vita vinapiganwa Jangwani, mazao yatakauka ghafla katikati ya Elnino. Ngoja tumsibirie "hangaya"