Organic Honey ๐ฏ | Bringing the Best of Nature to Your Table | Sustainably Harvested ๐ฟ | Taste the Difference ๐
Eat Healthy Stay Healthy.
0655 459259
Leo ni siku yako ya Ushindi.
Chakufanya
1. Tuambie asali iliyopo kwenye bahasha ina ujazo wa kiasi gani
2. Follow account za salbena honey Twitter na instagram
3. Screenshot ukiwa umefollow
4. Tuma jibu lako ukiwa umeambatanisha na screenshot za kurasa zetu ulizofollow
Utaijuaje asali ya nyuki wadogo
1. Ina rangi ya kahawia iliyokoleza sana inayoelekea kwenye weusi
2. Ni nyepesi sana (haifikii wepesi wa maji)
3. Huwa na povu linalokaa juu ya asali
#ElimikaWikiendi
Jinsi ya kutibu ukungu mguuni(FUNGUS)
Changanya kijiko kimoja cha asali, vijiko viwili vya mdalasini {vya chai}. Pakaa sehemu zilizoathirika usiku kwa muda wa nusu saa, kisha safisha kwa sabuni na maji. Shida yako itakwisha katika kipindi cha wiki moja
#ElimikaWikiendi
๐๐๐ฎ๐น๐ถ ๐๐ฎ๐บ๐ ๐ธ๐ถ๐ด๐ฎ๐ป๐ท๐ฎ๐ป๐ถ ๐บ๐๐ฎ๐ธ๐ผ.
Salbeni Asali tunazidi kutanua wigo wa kukufikia.
Nunua asali yetu kupitia application ya Mamboo na ikufikie popote ulipo ndani ya Dar Es Salaam
Chagua kiwango kutokana na mfuko wako.
Pakua Mamboo Apps ufurahie maisha
๐๐ฎ๐ต๐ฎ๐บ๐ ๐บ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ผ ๐บ๐ฎ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ต๐๐๐ ๐๐๐ฎ๐น๐ถ
1. Huondoa kujikuna - Weka asali kwenye kikombe halafu vaseline na mafuta ya waridi jipake sehemu inayowasha
#ElimikaWikiendi#AsaliTips
4. Kuua chawa na mayai yake - Paka asali kichwani vizuri halafu jifunge kitambaa wakati wa kulala, asubuhi osha na maji ya moto
#ElimikaWikiendi#AsaliTips
Una maumivu ya vidonda vya Tumbo?
Tumia asali kutoka @salbenaproducts itakusaidia Kupunguza Gesi na kulinda kuta za utumbo.
Tuna Asali ya Nyuki wadogo inafanya kazi vizuri.
Jipatie 500g kwa Tsh 15,000
๐ 0735459259
Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa