Zamani kijijini kwetu ardhi ilikuwa bei chee mzee akasema kila mmoja awe na ardhi yake tunanunua akatuongezea fedha, Kahawa zikapanda Bei Ardhi ikapanda
Sasa hivi tuko pale
@EsirEid Umesema kweli kabisa.
Kweli kabisa kuliko kumpeleka akasome Pre-form one mwaka mzima alafu aanze tena form one kusoma kitu kilekile, bora aende kwenye kitu cha tofauti kama hiki na baadae kinakuja kuwa na manufaa makubwa sana kwake.
#TajiriLaKihaya
Ukweli mchungu ni kwamba…
Kama mwanamume, hakuna anayekujali.
Si mke wako, si familia yako, si marafiki zako, si wenzako kazini, HAKUNA.
Watu huonekana kama wanakujali, lakini moyoni mwao, hawajali.
Uko peke yako. Daima uko peke yako!
PAMBANA💯
Why some business ideas never start?
1. Picking business ideas
that you cannot initially finance yourself
2. Chasing investors with ideas in a box. No traction to show off. Investors want businesses not ideas
3. Fear of failure - thinking of what will happen if you fail
4. Lack of a plan. You don't know where to start
5. Procrastination - you keep on postponing, and before you know it, new idea pops up. It becomes a circle every year.
6. You allow people to discourage you, people who have not done anything themselves before.
What to do?
1. Start small, don't try to be perfect
2. Join a business community /association
3. Don't ask for too many advice
4. Don't start chasing investors with the idea only. Self-finance / pre-sale
5. Just pick one idea and start, put other ideas in the parking lot. You will come back to them later.
6. Visualize yourself at 50 years and broke, and looking back, regretting why you didn't start then. You start blaming other people
@NIDA_Tanzania Naomba kujua kitambulisho changu ni Lin na wapi nitakipata maana tangu nijiandikishe mwaka 2018 wilayani kahama sijakipata licha ya kwenda ofisi ya wilaya na mtaa mahali nilipo jiandikishia
Naomba ufafanuzi please