Moja ya video iliyosambaa sana mitandaoni hii pia ni mojawapo, kitendo alichofanya huyu jamaa kwa upande mwingine inachekesha lakini kwa upande mwingine kuna ujumbe umetumwa hapa kuwa ukiwa na fedha unakua upo juu ya mamlaka.!!
Una maoni gani ?
Licha ya kuwepo kwa Bwawa lakini hakuna Huduma ya Maji, inatulazimu kutumia Maji ya kwenye Visima na Makorongo ambayo ni hatari kwa Afya ya Binadamu.
kumuomba Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini kufuatilia na kushughulikia changamoto hiyo ya maji ambayo ni tatizo kubwa kwa mkoa
Ukiwa na tamaa kunakufanya udharau na kupuuza
ulichonacho ukiamini hakina thamani mpaka kile ulichokitamani aidha ukikose au ukipate kwa muda
mupi sana na kukupotea ndipo utakapojua
ulichokidharau na kukipuza kilikuwa na thamani
kubwa sana kuliko ulichokikimbilia...
Kuna umri na muda unafika, uwezo wa kujibizana na mtu unakuwa huna, uwezo wa kuvumilia upuuzi unakuwa huna, uwezo wa kung'ang'ania kitu unakuwa huna, uwezo wa kuendelea kuishi maisha uliyoyaishi nyuma unakuwa huna. Ukiona hivyo ujue umeshakomaa,huitaji kulazimisha kueleweka