Leo tukastukiza kwenye kipindi kipya cha #GenTok cha @mjinifm pamoja na @FidQ@younglunya na Executive Producer @Sallam_SK tukaamua kuiachia DROP IT Produced by #AmmyWaves ambayo kesho itapatikana kwenye Digital Platforms zote #DropIt
Baada ya madhila yaliyotupata ya ajali ya Moto mnamo Januari 12, 2024 saa 12:45 asubuhi, Mkurugenzi Mkuu wa Mjini FM @Sallam_SK rasmi ameweza ku-share tulipotokea kuanzia hiyo siku na mpaka sasa zilipofikia studio zetu za Mjini FM 92.5.
@mjinifm#KwetuNiKwako
Tanzanian Artist Diamond Platnumz will perform for the first time at AFAS LIVE Amsterdam on 30th September! ๐น๐ฟ๐ณ๐ฑ Don't miss the chance to experience the best of Tanzanian music in The Netherlands.
Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda amesema ifikapo Jumatatu ya Aprili 15, 2023 atayataja majina ya viongozi, wakiwemo mawaziri wanaowalipa watu fedha ili kumchafua Rais Samia Samia Suluhu Hassan mitandaoni.
โ๏ธ @PresenterDMike#MjiniFM#KWETUniKWAKO๐ป
MAYELE AUNGANA NA WENZAKE MISRI KUIUA AL AHLY
Nyota wa zamani wa klabu ya @yangasc Mshambuliaji Fiston Kalala Mayele yupo hotelini na wenzake wa @SimbaSCTanzania .
Vipi, mashabiki wa LUNYASI mnatamani MITETEMO ya Mayele pale MSIMBAZI..?
โ๐พ @Justinekesy
@mjinifm#KwetuNiKwako