🌸FURSA FURSA FURSA🌸
Kongamano la Biashara na Uwekezaji Tanzania 🇹🇿 & Malawi 🇲🇼
Sekta ni Kilimo, Misitu, Ujenzi, Utalii, Madini, uchumi wa Buluu, Afya, Elimu n.k
Karibuni Sana, Sio ya kukosa💪🙏
Bustani vipi wajukuu, mwelekeo wa Nchi ni kumaliza baa la njaa,Kulisha Afrika na ikiwezekana dunia, nia tunayo, nguvu kazi tunayo na sababu tunazo 🌽🌽🌽 @tzagriculture
Wajukuu kuna program yenu inaitwa Building Better Tomorrow #bbt.
#MapinduziYaJukwaaLaKijani#BibiYenu🚶♀️🚶♀️