@AQtee@RadioCitizenFM Kama nguo ukujibaiya ukiwa kwenu ama kwako utajipanga🤣🤣Mimi tukipatana ni kujenga na kuinvest💯..hao wa makucha wakwendeeee snr🥺
#WaksTikiTaka
@RadioCitizenFM@AQtee Hello @AQtee..Hope umekua poa
W..c..w yangu si ifikie hawa watu wangu wa power
@Nancy shiks/wifey wangu💚ama mama Deylan
@AQtee pia ww ikubambe🥳
@lindahrotich
@Lilianzakayo3
@Daddy_Wa_Gas_but ere
@Wambo_Outter_Paps_Empire
Njiru locked kama kawa🥳🥳👊🏿👊🏿
#WaksTikiTaka
@ShattaTikiTaka @radi @ShattaTikiTaka ..Mimi siwezi kubali mtu wangu akuwe na boy aty anamshow story https://t.co/OdOuOKIx2w kwani pia si ni boy si anisho mm pia n boy wake.
Hawa maboy wengi wanachukuanga advantage apo wanakuchambulia wife😂😂
#WaksTikiTaka